Waziri Mwigulu Nchemba amepiga marufuku Polisi kuwasafirisha wabunge kutoka nje ya Dodoma

Mwigulu: 'Lazima tutoe fursa kwanza vyombo vilivyo chini yangu vifanye kazi kabla ya mimi kuzungumza'

Mwigulu:'Wanasema mbona sisemi juu ya kinachoendelea, hii ni Wizara ambayo siyo kila kitu ni habari, Wizara ina vyombo
Hapo mbona hajachana? Yeye kasema hawezi kusema chochote mpaka DAB amruhusu
 
Anachoweza mwugulu ni kutengeneza kesi za ugaidi na kuapia kutoa ushahidi mbinguni na duniani na ndo kisa pia cha kupewa cheo coz anaweza kwa ujasiri km bashite wa kutengeneza kesi za kuwaumiza wapinzani wa ccm
 
Matukio ya hivi karibuni yanatoa mwanga juu ya wahusika.
Na ni wazi Serikali ina vyombo nyeti vya dola ambavyo viko chini ya Idara tofauti na wizara tofauti.
Kuna Jeshi liko wizara ya Ulinzi
Kuna Idara ya TISS , iko chini ya Ofisi ya Rais
Kuna Polisi, Zimamoto,Magereza, vyombo hivi wizara ya Ndani.

Sasa matukio ya hivi karibuni, inaelekea wahusika wanaotajwa hata Bungeni ni TISS.
Sasa watu wanamlaumu Mwigulu Nchemba kwa sababu gani?

Pelekeni lawama kwenye kisanduku kinachohusika.
 
Anachoweza mwugulu ni kutengeneza kesi za ugaidi na kuapia kutoa ushahidi mbinguni na duniani na ndo kisa pia cha kupewa cheo coz anaweza kwa ujasiri km bashite wa kutengeneza kesi za kuwaumiza wapinzani wa ccm
Matokeo yake sasa hivi kibao kimemgeukia yeye baada ya Vikosi vyake anavyoviongoza kubadili Chain of Command.
Now vinamtii Brigedia Bashite
 
Mwigulu: 'Lazima tutoe fursa kwanza vyombo vilivyo chini yangu vifanye kazi kabla ya mimi kuzungumza'

Mwigulu:'Wanasema mbona sisemi juu ya kinachoendelea, hii ni Wizara ambayo siyo kila kitu ni habari, Wizara ina vyombo

Wizara ina vyombo vya kupikia?

Mungu anawaona CCM.
 
NILIJUA U SIKU MWIGULU AKIANZA KUONGEA LAZIMA ATACHEMKA, MAANA NI KAMA WIZARA SI YAKE SIKU NYINGI SANA. AMEBAKISHIWA ULINZI GARI NA OFISI; BASHITE NI KAMA YUPO KIKAZI ZAIDI.
 
Mnamwonea tu Mwigulu, hajui chochote kuhusu haya mambo. Haya mambo yanafanywa na kikosi cha siri cha ikulu, na hawalihusishi jeshi la polisi kwa vyovyote vile. Hata JWTZ hawajui chochote. TISS tu ndio wanajua yanayoendelea!
Kama TISS pekee wanajua wewe umejuaje? Au Nawe ni TISS
 
Mwigulu hawezi kunasa kwenye mtego wa kijinga kama alionaswa Nape.......

Nappe amebaki tu kusifiwa kamanda kamanda na umaarufu usio na msaada.!
 
Pamoja na stori zoote ila mimi siamini kama haya mambo yanafanywa na TISS,maana yule kiongozi wao alikua mchungaji kabisa wa kanisani kabla ya kuteuliwa.haiwezekani atume wafanyakazi wake mambo haya ambayo ni dhambi mbele za Mungu
 
Aseme nini sasa? Amwambie nani? Wizara ya mambo ya ndani ni sensitive sana haitaki mropokaji ni sawa na wizara ya Ulinzi. Watanzania wengi tumekuwa waongeaji sana, tunataka kulazimisha kila mtu awe anaongeaongea tu bila kufuata miiko ya kazi yake. Viva Mwigulu
Siku yakikutokea ndio utajua tu


Swissme
 
Back
Top Bottom