Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Mkuu sasa nimeelewa kwa nini tanzania ni muungano wa zimbabwe na tanzania bara.
 
duuuu amim kaumbkaa huyuu jamaaa anatakiwa awe mstaarabuuuu kila sikuu atabakiaa kuchorwaaa kwenyee magazetii
 
Wabongo naømba muelewe wa hivyo sisiemu yako mengi sana mengine yanajiita mwigulu kumbe yanaitwa mkumbo sema tunayastahi tu hata uwezo wao si mnauona jamani kwani siri!
 
Lol!!!!I missed this...!!!Bujibuji lazima ulikuwa Iyunga au MTC.....enzi za hao wote uliowataja hapo juu....tena usinikumbushe Kajange...!!!hahahaa..Yule babu alikuwa hakubali tukatize lile geti....!!but tulikuwa tunakula kona vilevile...usicheze NA adolescence bwana....!!Lol
Mimi nilikuwa ni mchunga ng'ombe wa mama Machibya. Nilipata kakibanda kangu pale kwa kina Watende, wale Mabubu
 
kama si kweli kama kweli inaonekana kuna ukweli ila mh mweupe ndio maana inaweza kuwa kweli
 
Haya sasa Amim aka mulugo ndo naib waziri wa elimu kweli watz tumeuzwa bila kujitambua,msemakweli alitoa orodha ya vilaza kwenye kitabu,Mungu tuokoe kizazi hiki!ahsante Sugu!
 
jamani tuliosomea majina ya wenzetu darasa la saba tupo wengi sana, tukianza kutimuana watabaki wachache! sana, maana kufauru miaka hiyo ilikuwa mbinde - wilaya nzima watu 12 tu duh.

tatizo ni kubwa sana hasa secta ya ulinzi na usalama kule ndiyo balaa.
 
Tunasubiri sugu amtungie wimbo huyo Kilaza Amim a.k.a Mulungu a.k.a Mulugo.
 
Mkuu kuna huu uhusiano ambao ni kweli kabisa wala si habari ya kutunga.

JK.....Mulugo......Mary Mwanjelwa

Ni kwamba Mulugo ni kuwadi wa JK kwa Mary Mwanjelwa na malipo ya kazi yake ya ukuwadi ni kupewa huo unaibu waziri vinginevyo hana sifa kabisa na cheo hicho.
all i can say is..duh,..tuliomba rais tukapewa pimp
 
Wadau wamenukuu hotuba ya mh husika nukuu'muungano wa Zimbambwe na Pemba ndio uliyozaa Tanzania mwaka 11964...'
 
Kweli Mulugo ni kilaza mwandamizi, nilimsikia siku moja kwenye redio ya vilaza wenzake ya clouds akielezea mpango wa ada elekezi kwa shule binafsi kuna mahali alitamka "lunch ya mchana " na "dinner ya jioni", nilichoka sana huyu ndiye Naibu Waziri wa elimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama kweli kuna ukweli wa kufoji elimu na Majina kwa nini isiwe sababu muhimu ya kufungulia mashitaka mahakama kuu kuwa alidanganya umma juu ya elimu yake na kusababisha wananchi wampigie kura za ubunge kuwa ni msomi mzuri wa kuwawakilisha bungeni kumbe siyo kweli bali ni mburula tu wakawaida na hivyo kupokonywa ubunge na kukoma kabisa kugombea uongozi wa kuchaguliwa.?.Naamini tuanze mchakato na kama mchango wa kupata wakili naanza kujitolea ili Haki ya kuthamini Elimu ZA WATU ITAMBULIKE SIYO KUNUNUA VYETI KUPATA ULAJI KIULAINI.
 
acheni udwanzi wenu hapa
Ndugu Amim kwa ujumla wake naanza mchakato wa kukupeleka mahakamani ili kutengua ubunge wako baadaya kubainika kuwa ulifanya udanganyifu kwa umma juu ya elimu yako, precedent ya kesi ya Kihiyo mbunge wa Temeke iko wazi na itasimama dhidi yako na muhimu sasa ni kukusanya nyaraka muhimu juu ya education background yako toka primary hadi OUT kama ni kweli na any relevant clues.UMEKWISHA ,ZIMBABWE NA PEMBA.
 
Jimbo la Mulugo lipo wazi kumbe aliaadaha wananchi kuwa ni msomi sana na alikuwa Headmaster, Huyu Hamimu Augustino amewakana wazazi wake na kujibandika jina la familia nyingine. Hivyo ana makosa matatu.
1. Kukosesha shule mhusika mwenye jina hivyo ana kosa la kubaka Elimu.
2. Kujibandika jina lisilo lake na kusababisha sensa ya mwaka 1988 kusomeka vibaya.
3. Kuwakoroga wazazi wake halis na kuleta mfarakano hapa mpaka DNA itumika kumrudishia baba uzazi na ulezi.
mengine ongeza
 
jamani tuliosomea majina ya wenzetu darasa la saba tupo wengi sana, tukianza kutimuana watabaki wachache! sana, maana kufauru miaka hiyo ilikuwa mbinde - wilaya nzima watu 12 tu duh.

tatizo ni kubwa sana hasa secta ya ulinzi na usalama kule ndiyo balaa.


Basi kugusi au kufoji vyeti vya elimu ni janga la kitaifa. Mh. Sugu anaweza kutunga rap nzuri mno kuhusu nchi ya kufoji vyeti..watu wa kufoji vyeti... na viongozi wenye vyeti vya kufoji. Bila shaka majirani wetu wataipenda sana ngoma hiyo!
 
lakini mh. sugu kasema kasoma nae mbeya day ko jamaa alipo maliza form 4 akakalili tena la saba ili afaulu 4m four? kachafuka mh. Hamimu:target::target:
 
Back
Top Bottom