Waziri Mulugo agawa rushwa hadharani

pesa za wagombea wa ccm zitaliwa sana lakini watashangaa jinsi watakavyopigwa chini
 


wengine mmeshakuwa wat wazima sasa, hebu tumieni muda wenu kwa mambo yenye mantiki kidogo na siyo kila siku uzushi wa kipuuzipuuzi! wewe uliondoka na sh. ngapi? au uliamua kuangaia tu basi? PUMBAAAAAAAAAAAAAAF!!
 
wengine mmeshakuwa wat wazima sasa, hebu tumieni muda wenu kwa mambo yenye mantiki kidogo na siyo kila siku uzushi wa kipuuzipuuzi! wewe uliondoka na sh. ngapi? au uliamua kuangaia tu basi? PUMBAAAAAAAAAAAAAAF!!

Daaaah!! Tunatofautiana sana sisi wanadamu.
Umeambiwa source: TBC1 sasa unataka nini tena??
 
TBC wametangaza hivo kama ulivoandika?
labda wawe wameshukiwa na roho
nadhani walisema aligawa fedha kwa vicoba,
wanaita takrima,wezesha vicoba
 
Na wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo
Lukosi komenti zako nyingine ni za kipumbavu sana! kwa hiyo unakubaliana na Mlugo kugawa rushwa? Mwingine anakusanya maaskofu huko Mwanza na kuanza kampeni za uraisi kwa rushwa, mwingine anagawa rushwa kwa nafasi ya ubunge 2015. ccm vipi, hamjiamini? Mpaka mwisho wa 2014 tutasikia mengi tu!!
 
Ktk kuhakikisha kuwa elimu ya Tanzania inadhoofishwa ili tuendelee kuwa tegemezi kwanza walimuweka Mungai, sasa wamempa Mulugo... soon tutakuwa Taifa la vilaza namba moja duniani kama hatujawa bado!
 
Na wewe nenda jimboni kwako kagawe gongo

watu wanazingumzia mustakabali wa nchi we unaleta ushabiki maandazi... Mabadiliko yatakuja, tena yataanzia kwa wananchi masikini, hayatawezwa kuzuiliwa kupitia propaganda za mitandaoni au kugawa vijipesa hadharani, badala ya kuboresha hali ya maisha ya wananchi kwa kudhibiti rushwa, nyie mnadhani wananchi masikini na wenye njaa wataendelea kuwasikiliza kila ukicha na hadithi zenu huku nyie na familia zenu mkinawari... nyakati zitawafika!
 

Mulugo sio mbunge wa Mbozi sasa iweje waseme kwa ajili ya uchaguzi? Labda urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…