Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,958
Tujadili kuhusu nani atakayekabidhiwa nchi na LOWASA 2025 cz lowasa atachukua nchi kwa chama chochote wasioamin wataona.....
you think so.
Tujadili kuhusu nani atakayekabidhiwa nchi na LOWASA 2025 cz lowasa atachukua nchi kwa chama chochote wasioamin wataona.....
Ni kwel ila watu hawaamini ila ndiye Rais anayefuata, mbaya zaidi wa chadema anatoka kaskazini na wa CCM kaskazini tena mkoa mmoja, patamu hapo sijui itakuwaje, tusubiri, mimi niko arusha, japo kuwa mimi ni mfuasi wa chadema ila kura yangu nintampa lowasa kwani kimsingi ni mtu shupavu asiye na uwoga, mwenye maamuzi, mchapa kazi na mchukua hatua, japokuwa ni fisadi ila naamin akiwa rais hawezi kuiba tena,
Hapa utani tuweke pembeni mimi ninavyoona inawezekana kabisa hii nchi Lowasa akapewa na mimi kweli akisimama yeye kura yangu anayo japokuwa niko upande wa pili,Lowasa anaweza akaamua kitu na hapindi na wala sio mwoga nakumbuka wakati akiwa waziri wa arithi alifanya maamuzi mazito japokuwa pia anapenda kuwekeza kila mahali nathani hivi sasa washauri wake wanamshauri aponguze kuwekeza na atoe zaidi sadaka ili asamehewe.Kweli yeye ni mchapakazi na hachoki.ngoja tuone na tuendelee kumwombea Mungu amlinde na kumpa nguvu awe mwenye afya tele.
Wananchi wenye kutaka maendeleo wanatamani na kutegemea EL awe rais, lkn wenye nia zao binafsi hawapendi kbs EL awe rais
Ila uzuri wapenda maendeleo ni wengi na wabinafsi ni wachache.
S6 ni mnafiki lkn kuna mambo ya msingi anaongeaga wakati mwingine moja ni lile CDM kuna Dr. slaa tu, lkn mie niongeze naona wameongezeka yupo Lissu,mnyika na lema. Sasa hawa hawajatosha kutuongoza ngoja waongezeke kwanza walio na mtizamu chanya CDM ndio 2020 tutawafikiria kuwa wanaweza kutuletea maendeleo."ngoja wakue-refer JKN"
Kuwapa 2015 bado wamezungukwa na njaa nyingi tutaangamiza taifa letu-Am sorry to say this lkn ndio ukweli

Kuna watu kila wakilala wana swali kibla ya Monduli!
Hatujadili Rais wa 2015 as Tayari ni Sokoine Jr, Mjadala uwe nani atamrithi Edo 2025!
Kwa vyovyote utakuwa na matatizo kwenye ubongo, ni nani aliyeanza kukerwana uandishi wa wengine? Mbona wewe huwaachi wengine wakafurahia uandishiwao! Kweli nyani haoni kundule...hivi xana linakukera etiii? ulivyokazania wacha watu wafurahie nuhuru wao wa mawasiliano ebooo
Elinawinga Acha Umalaya. Kama wewe gamba kuwa gamba, Tunamatatizo mengi ya kifisadi hamna fisadi ata-fix our problem.
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
Daah!haya bana!Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
Ni kweli ni Raisi mtarajiwa
aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na muhongo anawapitishia vijana wa lowassa kama ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
wa monduli.ni kweli ni raisi mtarajiwa