May you bring the source mkuu?
Ni akili yako ilipo ishiajamani mie lowassa hata angeniibia ........ yangu nitamchagua tu
Anza kukusanya mizigo kabisa maana ndio rais wako anayefuata penda usipende.
Bw. Tunguli, sitajali sana jina lako! Kusema kweli umeonesha huna taaluma hata ya uongo. Umepewa pelemende ukaja kubwabwaja! Ningekuwa mimi ningekaa mezani na wataalam wa uongo wanitengenezee hata DRAFT ya uongo unavyoaswa kuwa!Au jamaa yangu nawe uliongezewa maksi na bunge? Kama ndivyo, waambie tena wakufanyie STANDIZATION!Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati. Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
asante professorNi akili yako ilipo ishia
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
Alafu kuna huyu bwana mdogo anayejiita Ben Saanane anamuogopa sana lowasa amna uzi wa lowasa asiochangia..juz kat nliona uzi anadai anafuatiliwa sasa ata watanzania kum hawamfahamu nan amfatilie? mosi kwa lip 2. au kwa kutumiwa na wanaoutaka urais ndan ya CCM kuihujumu CHADEMA tuna dtail zake asjdanganye huyu dogo
Kuna watu kila wakilala wana swali kibla ya Monduli!Siasa za nchi hii hazinogi bila kutajwa kwa jina la lowassa!