Waziri Muhongo Mfukoni Mwa Lowassa

Waziri Muhongo Mfukoni Mwa Lowassa

Upuuzi mtupu. Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani. Lowasa kuwa na nyaraka za wizara kunaashiria vipi waziri kuwa mfukoni mwa Lowasa. Watanzania tuna matatizo makubwa sana, tunashindwa hata kutoa habari kwa namna inavyotakiwa.

Lowasa ni mbunge lakini pia ni mwenyekeiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nchi za nje, kuwa na nyaraka za wizara mbalimbali siyo tatizo na wala siyo jambo la ajabu.

Mimi nimewahi kuwa na mkataba wa uchimbaji wa madini ya dhahabu kati ya serikali na kampuni, niliupata kwa kupitia mwekezaji mwenyewe. Je, kwa fikra zako ina maana waziri au kampuni ipo mfukoni mwangu?

Moderator ondoa hii thread, hakuna cha maana.

Siasa za nchi hii hazinogi bila kutajwa kwa jina la lowassa!
 
Lowassa yupo ndani ya damu za watanzania,maafisa wa serikali na hata wengi wa mawaziri wanaripoti kwake

Hayupo kwenye damu ya watanzania wala nini,ni trckstar tu ambaye anatumia vilivyo nguvu ya ukwasi alionao kupata anachotaka,that's influence of affluence.Chezea mkwanja wewe.
 
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.

Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.

Mkuu Tunguli umeuona waraka mzito hivyo lazima aidha utakuwa mtu wa Lowasa ama uko wizarani na ni mwandamizi!
 
Last edited by a moderator:
Wananchi wenye kutaka maendeleo wanatamani na kutegemea EL awe rais, lkn wenye nia zao binafsi hawapendi kbs EL awe rais

Ila uzuri wapenda maendeleo ni wengi na wabinafsi ni wachache.

S6 ni mnafiki lkn kuna mambo ya msingi anaongeaga wakati mwingine moja ni lile CDM kuna Dr. slaa tu, lkn mie niongeze naona wameongezeka yupo Lissu,mnyika na lema. Sasa hawa hawajatosha kutuongoza ngoja waongezeke kwanza walio na mtizamu chanya CDM ndio 2020 tutawafikiria kuwa wanaweza kutuletea maendeleo."ngoja wakue-refer JKN"

Kuwapa 2015 bado wamezungukwa na njaa nyingi tutaangamiza taifa letu-Am sorry to say this lkn ndio ukweli
 
Lowasa anakazi kubwa sana. Ningemshauri afunge ndoa na wafuatao ili kushinda. Mwankyembe, mwandosya, sitta, magufuli na zitto kabwe.
 
Ujinga mtupu, nilipoona kichwa cha habari nilidhani Muhongo kajisalimisha kwa lowasa, kumbe wanaiba nyaraka? Kitu ambacho ni kawaida kabisa serikalini.

Angalau, hadi dakika hii hajawekewa price tag na Lowasa. Ningeshangaa
 
wamesema Lowassa ndio anaamua mradi upi upite upi usipite
 
Swali la kwanza, Muhongo kaji-submit kwa Lowasa? Au Lowasa anatumia njia za kuhonga ili kufanikisha malengo yake(crime syndicate)?

Kama mradi anaoamua Lowasaa unapita kwa kutumia njia za kihalifu na si kwa kumnunua Muhongo, hiyo ni ishu nyingine.

Na ni mradi upi aliokataza au kupitisha Lowasa? Lowasa ni tabula rasa kwenye masuala ya mafuta na gesi, period.

wamesema Lowassa ndio anaamua mradi upi upite upi usipite
 
Hamkumbuki Sophia Simba aliwahi kusema kuwa hakuna mwanaume wa shoka hapa Tanzania kama Lowasa? Haishangazi hata wanaume wenzake kawaweka mfukoni kwake !
 
Hivi Kaskazini ni wapi (i mean ni maeneo yapi) inclusion yake ni wapi na wapi? Kanda hizi kusini,kaskazini,mashariki,magharibu, na zingine kama zipo ziina include wapi na wapi(maeneo yapi)? Tafadhali ni msaada tu ili nijue mie nipo kanda gani, ili nijiandae kula ama kuliwa, thanks
muulize mkuu Ben Saanane analo jibu sahihi
 
Last edited by a moderator:
Hamkumbuki Sophia Simba aliwahi kusema kuwa hakuna mwanaume wa shoka hapa Tanzania kama Lowasa? Haishangazi hata wanaume wenzake kawaweka mfukoni kwake !

Hata kumuongelea mtu ni hoja..itakua kuongea kashfa??nayo ni hoja tu.

Kwa kukusaidia jiulize kwanini wanaume unaowasema wanamuunga mkono ndio utapata jibu-na usikimbilie hela kama akili yako wangapi wanahela kama bakheresa wkenye issue zake na nimrodi mkono lkn mbona hawaungwii mkono.

Wanaume wanawaza maendeleo zaidi na sio umbea au makosa kila mtu anayo-EL anaweza shughulikia maendeleo

Wanawake wanaangalia maendeleo ya wanaume nakushangiria wao zaidi wanawaza watakacho kipata kwa muda ule ule-hivyo muda ukifika EL ataongea na wanawake muda ukifikaa wakati huo watakua wanataka nini

Jiulize upokundi gani kati ya hayo mawili hapo juu
 
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.

Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.

Kama wenye dhamana hawawezi kutimiza wajibu wao basi waache wenye uwezo wazifanye kazi hizo; bottom line is lazima maisha yaendelee na nchi isonge mbele; serikali ya dhaifu kazi yake ni kusononeka; kulalamika na kulialia kila uchao!! kama imekubali kuwa remote controlled; wacha isaidiwe; hatima ya taifa itajulikana huko tuendako; we shall cross the bridge when we get there, not before.
 
Kwa akili yako fupi unadhani kupewa nyaraka ndiyo kuwa rais muulize mlema alitoka serikalini na nyaraka nyingi sasa aliishia wapi,twende kwa slaa altumia pesa nyingi kununua nyaraka za serikali muulize nini kilimkuta,usifikiri kila mwanaume anayemvua nguo msichana anamuoa la hasha wengine waishia hatua hiyo na kuwajengea majumba pamoja na kuwanunulia magari wanawaacha solemba.take care.

Wee mwanamke una laana. Umemaliza chuo kikuu bado hujui kutofautisha kati ya R na L! Kuna vitu vingine mtu unaweza kukosea lakini sio jina la Mrema ambalo hata mtoto wa darasa la kwanza ataliandika kwa usahihi. Hii inaonyesha ulivyo mvivu na hutaki kujishughulisha! This is beyond believe!
 
Back
Top Bottom