Mkuu politiki,
UNgetoa hiyo link ili tuweze kujadili vizuri coz' there's something missing kwenye hiyo $60 billion. Je, hiyo $60billion ni equivalent to what Ophir owned before (14%) or equivalent to total project? Take it from me, there's something missing.
Kwani wameuza gesi au wameuza vitalu (deposits)...kama ni vitalu jua kuna cost ya uchimbaji; hiyo amount ni estimation ya deposits...gesi inategemea kuanza kupatikana 2020
Mkuu politiki,
UNgetoa hiyo link ili tuweze kujadili vizuri coz' there's something missing kwenye hiyo $60 billion. Je, hiyo $60billion ni equivalent to what Ophir owned before (14%) or equivalent to total project? Take it from me, there's something missing.
Mkuu politiki,kwako NASDAZ, Easy nenda kwy NYSE Commodity exchange market utakuta latest price zote na pia nimea under estimate price a little bit kwani it is more than $4 per 1000cft kwahiyo piga hesabu ya 15 trillioni cubic feet utapata jawabu kirahisi. kitaalamu ni engineer wa mambo ya electronics lakini nikaishia kufanya kazi ya kuandaa AFE unajua tena ukifanya kazi kwy kampuni ndogo unajikuta you find yourself wearing too many hats. mpaka ujue thamani ya kitu unachouza in this case ni ownership exchange kwahiyo ni muhimu kuona mkataba mzima ukoje otherwise ni ngumu kujua faida au hasara but i am sure ORPHIR in this deal has made itself enormous amount of money. kazi yangu ilikuwa ni ku negotiate AFE ngumi huwa zinapigwa mezani.
kasome article vizuri wamesema amount ya gas ambayo ni 15 trilion cubic feet. kwa taarifa yako ni kwamba amount ya gas inajulikana or can be estimated wakati iko reservoir/payzone.
Thanks
Sasa kama ni estimation ya kitu kilichoko ardhini si unabidi utoe cost ya uchimbaji ili ujue faida? Au hizi estimation ni za profit?
Ma wao wamepata asilimia ngapi?
unapothaminisha nyumba kabla ya kuiuza si unaweka na gharama zako za ujenzi au vipi?? kwahiyo ninavyokupa estimate basi everything have been factored in. Pavillion sio wajinga kununua kitu mahala ambapo hawana uzoefu nako na kama alivyosema mtaalam wa mambo ya gas Tony Regan kwamba hili ni bichi kwy biashara ya gas. Tony Regan is wrong kwani hajui Pavillion wameona nini mpaka wakaamua ku take such big risk according to him. huenda hajui kuwa Tanzania is among the most corrupted countries in the world. ingekuwa nchi zingine zinazoamini ktk free market tungeona kampuni zinabidi kupata the highest bidder but in TANZANIA only you have to do is to stick peanut money into one politician pocket like Muhongo umemaliza kazi.
Uzuzu wa CCM na watu wake huwa unakera sana! Yaani akina Motto Mubanga, Mkapa, Yona, Mramba, Membe wametengeneza Zaidi ya Trillion 2 kwa kuuza vitalu ambavyo hata uzalishaji haujaanza ninyi mnashangilia? kweli?...Ezekiel Kamwaga | Raia Mwema - Toleo la 331 | 25 Dec 2013
Mauzo ya hisa hizo yanatarajiwa kuiingizia Ophir kiasi cha dola bilioni 1.3 (shilingi trilioni mbili) na kutokana na mauzo hayo, Tanzania itapata kiasi cha dola milioni 260 (shilingi bilioni 400) kama kodi.
Waheshimiwa mnachanganya mambo,
Capital gain haina uhusianon na Faida au hasara inayopatikana kwenye Mauzo ya gesi ikianza kuchimbwa,ni kodi inayotozwa kwenye ubadilishaji au uongezaji wa mtaji.
Hao pavillion gesi ikianzwa kuchimbwa wataambulia asilimia 20 ya asilimia wanazomiliki Ophir kwenye kitalu kizima,Kuwa na Duka lenye Mafuta ya thamani ya $60B hakukufanyi mwenye duka kupata faida ya $60B.That is beyond impossible.Knweye biashara nyingi duniani , Thamani ya faida huwa mara 10/13 ya mapato. Hii ni kwa kampuni inayofanya vizuri sana.kwa maana ya kuwa, mapato ya $60B yatatarajiwa kuleta faida isiyozidi $7B.Kwa mantiki hii bei ya $1.3B ni sawa kabisa,naamini tena ni bei nzuri kwa kuwa watakuwa wameangalia future pricing(10-25yrs) ya gas ambayo iko kwenye upward trajectory pamoja na inflation etc.
kwa upande wa pili habari hii inaonesha ni jinsi gani Tanzania inatakiwa ijizatiti na hii neema ya gesi,si mara zote utasikia $1.3B transaction, hizi ni transaction nadra,na kwa mambo yanavyoenda si chini ya 10 zitakuwa zinatokea Tanzania kwa miaka 5-10 ijayo.
Tanzania kuendelea kubakia masikini baada ya miaka 20 ijayo kutahitaji UJUHA wa kiwango cha juu zaidi.UJUHA uliotukuka.bahati mbaya viongozi wetu hawajawahi kutuangusha kuutumia UJUHA wao.
yetu macho.
Watu wenye uwezo finyu wa kuelewa wanaruka huku na kule kushangilia eti tumepata sh bilioni 400 out of $1.3 billion * 1,600= Shilingi 2,080,000,000,000 kwa maana nyingine rasilimali yetu imeifaidisha kampuni ya nje na kuweza kujizolea shilingi 1,680,000,000,000 (Trillioni 1.68) kweli wajinga ndio waliwao. Ushauri wangu capital gains iongezwe na kufikia 50% ili tufaidike zaidi badala 20%, ingekuwa capital gains ni 50% badala ya 20% basi nchi ingepata Shilingi Trilioni 1.04, shilingi bilioni 600 zaidi na ushee.
Waliofaidika hapa ni muuzaji na mnunuzi sisi tumelamba JOKER, halafu tunakenua Mungu tumekukosea nini watanzania, mbona mbona ni kama vile umeweka pamba katikati ya sikio moja na jingine badala ya ubongo.
Mungu tupe akili tujue kuwa tunadhulumiwa
hakuna mtu aliyesema faida yake ni $ 60 billioni hapana, nimekuja nayo mimi kutokana na recent price of gas kwenye commodity exchange ndani ya NYSE.
Unasema price ya US $ BILLIONI 1.3 ni Right according to who?? according to ophir??
where is the appraisal ??? According to the article this was no bidd contract?? how can one be sure on price if there was no bidding process conducted by each part ??? serikali kama ime approve tunataka kujua imeapprove kwa kutumia vigezo gani ?? hapo ndipo namuingiza politician muhongo ameshauri serikali kukubali bei kwa sababu orphil imesema hivyo au market research analysis imewafanya kufikia hii conclusion ??? kwahiyo kama ni 10% basi amekula eneo hili.
kimweri nataka majibu ya kushiba jina kubwa sana hilo most of kimweri's i came across are genius and supersmart.
hakuna mtu aliyesema faida yake ni $ 60 billioni hapana, nimekuja nayo mimi kutokana na recent price of gas kwenye commodity exchange ndani ya NYSE.
Unasema price ya US $ BILLIONI 1.3 ni Right according to who?? according to ophir??
where is the appraisal ??? According to the article this was no bidd contract?? how can one be sure on price if there was no bidding process conducted by each part ??? serikali kama ime approve tunataka kujua imeapprove kwa kutumia vigezo gani ?? hapo ndipo namuingiza politician muhongo ameshauri serikali kukubali bei kwa sababu orphil imesema hivyo au market research analysis imewafanya kufikia hii conclusion ??? kwahiyo kama ni 10% basi amekula eneo hili.
kimweri nataka majibu ya kushiba jina kubwa sana hilo most of kimweri's i came across are genius and supersmart.
Good, i made numbers based on you assumption to drive home a point. Again you are mixing up two things. Microsoft did not have to Bid to acquire part of Nokia Operations,GMC's do not have to bid if it was not a government contract.Remember this was not a public sale of whatever Ophir had.This was an internal sale of Ophir interest in the block. Pavilion is not Taking over the contract from Ophir, it is merely injecting cash and in the process it is becoming a shareholder of the whole thing,appraisal wanafanya serikali ya Tanzania, mara baada ya hao waheshimiwa kupokea taarifa za hiyo offer.Kumbuka transaction haitapita bila kuwa approved na Serikali ya Tanzania,serikali ya Marekani (where the company is listed) na serikali za nyumbani za makampuni husika.
Nafahamu tuna paranoia ya kudhulumiwa na hawa mafisadi kwenye kila aina ya deal hapa Tanzania, lakini kwa hili nasimama na Serikali yetu,kama kosa, basi litafanywa na Ophir na Pavilion, and they would not want to risk their $100B+ businesses for $1B, especially when it is involving the US. We all knew what happened to BAE.
What might happen is Muhongo and Team might receive a few mils to fasten up the deal, but there is no way kwa mfano Pavilion can buy the shares for $5B and report it as $1.3B, a billion Dollars is a lot of money to hide under the carpet. a few millions,up to ten can easily be hidden under facilitation, and that's about it.