Waziri Muhongo anasa bil. 400/-

Waziri Muhongo anasa bil. 400/-

Good, i made numbers based on you assumption to drive home a point. Again you are mixing up two things. Microsoft did not have to Bid to acquire part of Nokia Operations,GMC's do not have to bid if it was not a government contract.Remember this was not a public sale of whatever Ophir had.This was an internal sale of Ophir interest in the block. Pavilion is not Taking over the contract from Ophir, it is merely injecting cash and in the process it is becoming a shareholder of the whole thing,appraisal wanafanya serikali ya Tanzania, mara baada ya hao waheshimiwa kupokea taarifa za hiyo offer.Kumbuka transaction haitapita bila kuwa approved na Serikali ya Tanzania,serikali ya Marekani (where the company is listed) na serikali za nyumbani za makampuni husika.

Nafahamu tuna paranoia ya kudhulumiwa na hawa mafisadi kwenye kila aina ya deal hapa Tanzania, lakini kwa hili nasimama na Serikali yetu,kama kosa, basi litafanywa na Ophir na Pavilion, and they would not want to risk their $100B+ businesses for $1B, especially when it is involving the US. We all knew what happened to BAE.

What might happen is Muhongo and Team might receive a few mils to fasten up the deal, but there is no way kwa mfano Pavilion can buy the shares for $5B and report it as $1.3B, a billion Dollars is a lot of money to hide under the carpet. a few millions,up to ten can easily be hidden under facilitation, and that's about it.
In short, ukiangalia vizuri, unaona kabisa kwamba $1.3BN ni somewhere reasonable na ingawaje niliweka possibility ya Ophir ku-report less than what they actually earned ni kv tu nafahamu no one business entity that acts like an angel...any business entity that may find the room to make more profit, it'll use it!

Binafsi niliona ni reasonable kwa kuangalia jambo moja kwamba, ikiwa % za Ophir as for now zina mzigo unaopata $60BN, we can then assume that 100% of Ophir Shares is equivalent to $60BN and in turn, 20% Ophir Shares (sold to Pavillion) is equivalent to $12BN. This literally means that, kama ingekuwa ni independent project, ni sawa na Ophir kumwambia Pavvilion kwamba nina Vitalu ambavyo gas available ina thamani ya $12BN. So, in order Pavillion to extract those $12BN from undersea, ni kwamba anatakiwa ku-inject few billion dollars zitakazoongeza cost juu ya ile $1.3BN.
 
basically kuna mikataba ya aina 4 kwy biashara ya gas. kilichosainiwa bongo kwa mujibu wa JK ni Production sharing agremeent au kwa jina lingine production sharing contract ni kwamba the govt does not spend any money ktk process nzima kwahiyo in PSA, the investor receive full cost from producton then sharing the profit with govt(65% and 35%)
hakuna cha tax wala nini everything has been build in 65% or 75% kilichofanyika kwy deal hili hakiendani na PSA kwa sababu hii ilikuwa ownership change bila production kuwa involved until 2020.
politiki,
Hivi mwenzangu unatumia PSA ya mwaka gani na ya wapi? Au ni mimi ndie sielewi haya yaliyoandikwa kwenyehii PSA ya 2013? Hebu nieleweshe wewe sasa kwenye hivi vipengele vya PSA vinavyozungumzia kodi ambayo wewe unasema hakuna kodi tutakayopata:

ARTICLE 16: TAXATION AND ROYALTY(a) The Contractor shall be subject to Tanzanian taxes on income derived from Petroleum Operations hereunder, as provided for under the provisions of the Law.
(b) In addition to taxes paid in accordance with sub-article (a) above the Contractor or its shareholders in respect of income derived from Petroleum Operations hereunder or in respect of any property held or thing done for any purpose authorized or contemplated hereunder shall be further taxed as follows:

(i) subject to the provisions of Article 23, import duties at the rates specified from time to time in the First Schedule to the East African Customs Union Protocol;
(ii) taxes, duties, fees or other imposts for specific services rendered on request or to the public or commercial enterprises generally and rent due to the Government in respect of any land rights granted or assigned to the Contractor;
(iii) local Government rates or taxes not in excess of those generally applicable in the United Republic of Tanzania; and
(iv) stamp duties, registration fees, licence fees and any other tax, duty, fee or other impost of a minor nature.

(c) TPDC on behalf of itself and the Contractor shall discharge the obligation to pay Royalty under the Act in respect of petroleum obtained from the Contract Area, by delivering to the Government 12.5% for onshore/shelf areas and 7.5% for offshore of total Crude Oil/Natural Gas production (prior to Cost Oil and/or Cost Gas recovery) at such location as the Minister may direct and the Government may require TPDC to dispose of such royalty otherwise to be delivered to the Government in such manner as the Government may direct. For the purposes of this Article onshore areas include shelf up to water depths of 500 meters and offshore areas include water depths beyond 500 meters.

ARTICLE 17: ADDITIONAL PROFITS TAX
(a) Contractor shall be subject to an Additional Profits Tax (hereinafter referred to as "APT") that shall be calculated on a Development Area basis in accordance with the provisions of this Article 17. APT will be calculated for each Calendar Year and will vary with the real rate of return earned by Contractor on the net cash flow from the Development Area in
question.

Haya mkuu wangu, ni mimi nashindwa kuielewa hiyo PSA au ni wewe unatumia PSA ndiyo siyo?!
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio tofauti ya zito na lema (kabang)
 
Kuna watu humu hawafikiri bali vichwa vyao vinafikiriwa . Hapa tunazungumzia Uzalendo wewe unataka nchi sijui isimamiwe na nani ili uone kuna haki inatendeka
 
hivi wewe Tanzania tunakimbia au tunatambaaa?tunatambaa chini ya swaga na ulaghai wa ccm,ufisadi na ubinafsi wa mawaziri wa chama chakavu ndo wanasainishana mikataba mibovu huku wakiramba ten /cnt zao nyie mnasema mnakimbia,kama sisi tunakimbia tueleze tunakimbiaje? Labda tunakimbia kwa riverse!
.
Nilichoandika ni tofauti na rhetoric ulizotoa. Wa TZ ifike mahala tukubali kuambiana ukweli ni siyo kupakana tope ambazo hazina tija. Kukubali ukweli ndiyo utakaotufanya tutanabahi na kuelekea kule tunapotaka kwenda kwa kila mmoja mwetu kuwajibika ipasavyo. Mtu yeyote yule anaweza kuwa mwanasiasa lakini vilevile tukubali kuwa sisi wote hatupaswi kuwa wanasiasa.
 
Wanajamii kumekuwa na upotoshaji mkubwa katika habari za uuza wa hisa na unsaji wa kodi tokana mauzo ya hisa. Ukweli ni kuwa hakuna unasaji wowote uliofanywa na Waziri Muhongo kwani hahusiki na lolote katika ukadiriaji wa kodi wala ukusanyaji wake. Suala la ukusanyaji wa kodi ni suala la TRA na sio wizara ya Madini au taasisi zake. Kwa mujibu wa sharia ya kodi ya mapato ya mwaka 2004 katika vifungu vya 39, 55, 56 na 90 ndivyo vinavyohusika na utozaji na ukadiriaji wa kodi hiyo ambayo inaitwa Capital Gains, japokuwa kisheria inatambulika kama Investment gain(tax). Waziri Muhongo hana mamlaka wala ujuzi wa kukadiria kodi ya mapato. Upotoshaji mwingine ni kuwa fedha hiyo itakayopatikana itatumika katika miradi ya umeme, hiyo sio kweli. Kuna kodi ambazo zimepangwa hivyo kwa mfano kwa mfano tozo la ushuru katika matumizi ya simu za mkononi, capital gains tax haihusiki na mpango huu. Upotosahji mwingine ni kuwa Mheshimiwa Zito ndiye aliyependekeza marekebisho ya sharia ya capital gains na kupelekea kurekebishwa kwa sharia ya kodi ya mapato. Ukweli ni kuwa sharia ya kutoza pato tokana na mauzo ya hisa ni kitu ambacho kipo siku nyingi hata katika sharia iliyofutwa sharia ya mwaka 1973 kifungu cha 13. Na katika katika sharia ya 2004 ambayo ndiyo inatumika wakati huu vifungu hivyo vilikuwepo kuanzia wakati sharia hii inapitishwa na bunge. Marekebisho yaliyofanywa mwaka 2012 msingi wake ni ndani ya serikali yenyewe ambayo ilikutana na changamoto kubwa tokana no kesi ya ARMZ vs Commissioner General ya mwaka 2012 ambayo ilizua utata katika ukadiriaji wa kodi ya aina hiyo. Suala jingine lililojitokeza ni mashaka katika thamani ya mauzo au ukadiriaji wa kodi hiyo. Suala la thamani ya mauzo ni vigumu mno kufichika katika mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji kama ambavyo inafanyika katika mauzo hisa hizi za sasa hivi. Na pengine inatupasa kufahamu kuwa katika utozaji wa kodi, kiasi kinachotozwa kodi ni faida inayotokana na mauzo ya hisa na sio pato lote, hivyo lazima hesabu itafanyika ili kujua faida ni ipi na hapo ndipo kozi itatozwa kwenye kiasi hicho, kwa maana hiyo kiasi cha kodi kinaweza kupungua kwa kiasi Fulani.
 
Asante kwa kutujuza....

Awe ni Zito Kabwe au Muhongo, TRA au sheria ilikuwepo...haijalishi....

Kama sheria ilikuwepo kwa nini TTCL iliuzwa na hatukupata kitu (kama wadau humu wamesema ukweli)? TRA walikuwa wapi?

Au nitakuwa sahihi nikisema Waziri wa Nishati na madini ana umuhimu wake kwenye kuwahabarisha TRA kuwa kuna change of ownership? Au TRA inauwezo wa kupata taharifa zote za uuzaji bila kutegemea wizara husika?

Haya ni maswali najiuliza si kwamba nakupinga....bdo nakushukuru kwa kutupa hints hizi muhimu...

Wanajamii kumekuwa na upotoshaji mkubwa katika habari za uuza wa hisa na unsaji wa kodi tokana mauzo ya hisa. Ukweli ni kuwa hakuna unasaji wowote uliofanywa na Waziri Muhongo kwani hahusiki na lolote katika ukadiriaji wa kodi wala ukusanyaji wake. Suala la ukusanyaji wa kodi ni suala la TRA na sio wizara ya Madini au taasisi zake. Kwa mujibu wa sharia ya kodi ya mapato ya mwaka 2004 katika vifungu vya 39, 55, 56 na 90 ndivyo vinavyohusika na utozaji na ukadiriaji wa kodi hiyo ambayo inaitwa Capital Gains, japokuwa kisheria inatambulika kama Investment gain(tax). Waziri Muhongo hana mamlaka wala ujuzi wa kukadiria kodi ya mapato. Upotoshaji mwingine ni kuwa fedha hiyo itakayopatikana itatumika katika miradi ya umeme, hiyo sio kweli. Kuna kodi ambazo zimepangwa hivyo kwa mfano kwa mfano tozo la ushuru katika matumizi ya simu za mkononi, capital gains tax haihusiki na mpango huu. Upotosahji mwingine ni kuwa Mheshimiwa Zito ndiye aliyependekeza marekebisho ya sharia ya capital gains na kupelekea kurekebishwa kwa sharia ya kodi ya mapato. Ukweli ni kuwa sharia ya kutoza pato tokana na mauzo ya hisa ni kitu ambacho kipo siku nyingi hata katika sharia iliyofutwa sharia ya mwaka 1973 kifungu cha 13. Na katika katika sharia ya 2004 ambayo ndiyo inatumika wakati huu vifungu hivyo vilikuwepo kuanzia wakati sharia hii inapitishwa na bunge. Marekebisho yaliyofanywa mwaka 2012 msingi wake ni ndani ya serikali yenyewe ambayo ilikutana na changamoto kubwa tokana no kesi ya ARMZ vs Commissioner General ya mwaka 2012 ambayo ilizua utata katika ukadiriaji wa kodi ya aina hiyo. Suala jingine lililojitokeza ni mashaka katika thamani ya mauzo au ukadiriaji wa kodi hiyo. Suala la thamani ya mauzo ni vigumu mno kufichika katika mauzo ya hisa kwenye soko la mitaji kama ambavyo inafanyika katika mauzo hisa hizi za sasa hivi. Na pengine inatupasa kufahamu kuwa katika utozaji wa kodi, kiasi kinachotozwa kodi ni faida inayotokana na mauzo ya hisa na sio pato lote, hivyo lazima hesabu itafanyika ili kujua faida ni ipi na hapo ndipo kozi itatozwa kwenye kiasi hicho, kwa maana hiyo kiasi cha kodi kinaweza kupungua kwa kiasi Fulani.
 
Ndugu yangu Nyumba Kubwa. Inasikitisha kuona kuwa mtu anayepewa sifa za kunasa kodi ndiye anahusika na kupoteza kodi. Ukifuatilia hotuba za Waziri bungeni utashangaa ni huyu waziri alisema ARMZ kampuni ya Uranium ya kirusi haitapewa leseni mpaka ilipe kodi wakati huo kulikuwa na kesi katika Mahakam ya kodi Tax Revenue Appeals Board iliyopo bank house. Lakini kabla kesi haijaisha waziri akatoa leseni. Ni kweli TRA baadaye TRA ilishindwa katika kesi iliyokuwepo mbele ya Tax Revenue Appeals Board na baadaye mwezi uliopita TRA imeshindwa katika rufaa zake katika mahakama ya rufaa ya kodi Tax Revenue Appeals Tribunal. Sasa kwa ushauri tu ndugu yangu kama unapenda kujua zaidi kuhusu kesi hizo na namna zilivyoendeshwa na kuamuriwa tafadhali fika hapo benki house ujaribu kuzipata hizo kesi ambazo kimsingi ni public documents na wakati mwingine kesi hizo huwa zinakuwa published uone kama utazipata. Ukipata shukuru mungu na kasha soma hizo kesi ili uone kama kuna siku TRA itapata kodi toka katika vyanzo hivyo vya capital gains. Case ambazo zinahusika ni kesi namba 26 ya mwaka 2012 inahusu kodi ya mapato(Income Tax Case) na kesi namba 27 ya mwaka 2012 inahusu Stamp Duty, hizo ni kesi mbele ya Tax Revenue Appeals Board, na baada ya hapo jaribu kupata kesi namba 17 ya 2003 hii niksei ya Kodi ya mapato mbele Tax Revenue Appeals Tribunal. Na kesi nyingine ni kesi ya Stamp kesi namba 16, hizo kesi naambiwa bado zinachapwa, pengine zitakuwa tayari.
 
Kwa mtindo huu; kama umasikini utaisha ni miaka 100 ijayo...

Nadhani katiba moya ingeweka kifungo cha maisha kwa wala rushwa kuanzia milioni 10...(maana focus si vidagaa)

Ndugu yangu Nyumba Kubwa. Inasikitisha kuona kuwa mtu anayepewa sifa za kunasa kodi ndiye anahusika na kupoteza kodi. Ukifuatilia hotuba za Waziri bungeni utashangaa ni huyu waziri alisema ARMZ kampuni ya Uranium ya kirusi haitapewa leseni mpaka ilipe kodi wakati huo kulikuwa na kesi katika Mahakam ya kodi Tax Revenue Appeals Board iliyopo bank house. Lakini kabla kesi haijaisha waziri akatoa leseni. Ni kweli TRA baadaye TRA ilishindwa katika kesi iliyokuwepo mbele ya Tax Revenue Appeals Board na baadaye mwezi uliopita TRA imeshindwa katika rufaa zake katika mahakama ya rufaa ya kodi Tax Revenue Appeals Tribunal. Sasa kwa ushauri tu ndugu yangu kama unapenda kujua zaidi kuhusu kesi hizo na namna zilivyoendeshwa na kuamuriwa tafadhali fika hapo benki house ujaribu kuzipata hizo kesi ambazo kimsingi ni public documents na wakati mwingine kesi hizo huwa zinakuwa published uone kama utazipata. Ukipata shukuru mungu na kasha soma hizo kesi ili uone kama kuna siku TRA itapata kodi toka katika vyanzo hivyo vya capital gains. Case ambazo zinahusika ni kesi namba 26 ya mwaka 2012 inahusu kodi ya mapato(Income Tax Case) na kesi namba 27 ya mwaka 2012 inahusu Stamp Duty, hizo ni kesi mbele ya Tax Revenue Appeals Board, na baada ya hapo jaribu kupata kesi namba 17 ya 2003 hii niksei ya Kodi ya mapato mbele Tax Revenue Appeals Tribunal. Na kesi nyingine ni kesi ya Stamp kesi namba 16, hizo kesi naambiwa bado zinachapwa, pengine zitakuwa tayari.
 
Ni jambo la kujivunia kuwa tunae waziri ambae ni msomi na muelewa wa mambo ya utawala na maendeleo. Na hakika amepewa wizara ambayo inafanana na professional yake na kwa bahati mbaya amewabana sana makanjanaja na matapeli wa mjin mpaka imekuwa nongwa.
Hii isitafsiriwe kama zawadi au pesa zilizopatikana kwa bahati mbaya ni mapato halali ya nchi na matumizi yake yafuate taratibu stahiki za nchi na SIMBACHAWENE asianze kupanga matumizi feki TANAWAJUA MAGAMBA WANAWEZA FICHA FEDHA ZOTE KWA AJILI YA UCHAGUZI 2015 chondechonde tuheshimiane na matumizi ya mapato yanayotokana na rasilimali za nchi yetu!
 
Na income toka kwenye natural resource inakuja na laana kama nchi haijakomaa kwenye democrasia na imejaa rushwa...

Nimecheka Nigerian president ameenda Kenya kwenye sherehe ya uhuru akiwa na msafara wa private jets 7....

Wanaijeria wametoa mpaka povu...ingawa kuna wanaomuunga mkono kuwa wao ni taifa kubwa so private jet 7 ni nothing...Na inaonekana wanaomuunga mkono ni wa kabila lake (ukabira ni sumu ya democracy) na wanasema kama wenzake walikula na yeye ni zamu yake...

In fact rais wao ana ndege 10 na anataka kuongeza ya 11...alienda US na msafara wa watu 600....ndio neema ya mafuta hiyo...Wanaijeria hawalipi kodi ela karibu yote ya matumizi intoka Shell hence less accountability is expected...

maana kuna uhusiano kati ya tax citizenship na accountability...

Kuna jamaa akachomekea kuwa anaombea visima vya mafuta vikauke ili wanaijeria wajifunze kuwawajibisha viongozi wao; kwani itawabidi walipe kodi na kusikia utamu pale mtu anapo squander ela yao

Back
Top Bottom