Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
KUTOKA BUNGENI: Waziri wa fedha Philip Mpango amesema Rais Magufuli amempigia simu juu ya michango ya Wabunge Nape Nnauye na Hussein Bashe kuwa Serikali inapaswa kuruhusu watu binafsi wawekeze kwenye mradi wa reli ya kisasa badala ya kukopa fedha na kujenga yenyewe

Rais amesema yupo tayari kuwapa wawekezaji hao hata leo tenda ya ujenzi wa reli ya Kaliua-Mpanda, Isaka-Mwanza, au reli ya Mtwara-Mchuchuma mpaka Liganga

 
Back
Top Bottom