Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,009
- 103,394
Muwe mnafuatilia bajeti mbalimbali za wizara mda ukifika
Hilo bwawa ni kweli linajengwa kwa bln 900 na linajengwa maalumu kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji Safi na salama kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo ya jirani
Supply yake itakidhi mahitaji kwa zaidi ya miaka 20 ya ongezeko la wakazi wa jiji la Dodoma.
Kama hiyo haitoshi mjiandae na ujenzi wa mabwawa mengine 2 mkoani Njombe kwa ajili ya Umeme apart from stuglaz maana serikali inalenga kuwa na mgwatt 10,000 by 2025
By 2025 kuwe na 10,000mg? Jambo hilo linawezekana? Nchi hii ina uwezo huo au ni kutaka kufurahisha genge? Umeme sasa kuna mgao nchi nzima hakuna hata maelezo, ndio itakuwa kuwa na 10,000mg by 2025?