Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.

Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani

Mbona hawaombi kuchoma madubwana ya Wahindu, Budha na wengine, wanaomba kuchoma za waislamu tu, maana nyie mumeshindwa kuishi na watu vizuri, kutwa kujilipua mabomu na kulazimisha watu wamuabudu huyo muarabu wenu.
 
Hapa nacho sema hata kama Allah angekuwa ni mungu wa kipagani ..... Inafaa kuheshimu dini ya wanao muamini !!! Kuchoma Quran yao ni kitendo cha chuki !!!
Imani inadumu miaka na miaka karne na karne !!! Ni ngumu mtu kubadilika !!! So Kinachobaki ni kwamba watu HAWAJUI WALIFANYALO sio kosa lao kwa sababu hiyo tunapaswa TUWAHESHIMU tu hawa jamaa waislamu tuwapende na Tusichome Quran , wanafanya hivyo kwa utukufu wa Allah wanayenamini kwamba ni muumba wa kila kitu...sio kosa lao
Allah ni Mungu wa kipagani kwa wasio Waislamu wengi.

Na wana haki ya kutoheshimu dini ambayo wao wanaona ina ushenzi mwingi.

Wewe huwapangii hilo. Huna haki hiyo.
 
Sababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.

Hata Sweden ukichoma moto Quran isiyo yako unaweza kushitakiwa kwa kuchoma moto mali ya mwingine.

Ukichoma ubalozi wa mwenzio, ushatoka kwenye uhuru wa kujieleza, umeingia kwenye kuharibu mali za wengine.
Unapoteza muda,mwenzio ashazoea ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa na tende
 
Waache huo upumbavu, waishi kwa kuheshimu tofauti zilizopo kati yetu.

Hatuwezi wote dunia nzima kuwa wa-Kristo au wapagani
Ila alshabab na etc wanaheshimu imani nyingne , mzan utakuwa sw muda si mrefu si mlizoea kutumia fursa ukimya wa iman nyngne
 
Walizipata wapi? Inabidi kuwe na utaratibu wa kupata kibali cha kuwa na vitabu vya dini kama vile umiliki wa silaha, kama watu hawana nidhamu na staha kwa imani za wengine.
Kauli hz ilibid mseme kpnd mnawafanyia imani za watu km haya huko middle east
 
Imani yangu tofauti nayako
Naamini ww hapo mwanzo ulikua unaamini uwepo wa Mungu
Sababu ww ulimfata mtu akakupotoa kuwa hakuna Mungu na ukamuamini kwa kukutolea mifano iliyoandikwa kwa kitabu tena kilichoandikwa na binaadamu Kama ww
Ndo maana nmekwambia imani yako ni potofu.

Aliyekuambia nlimfuata mtu ni nani?

Kuna hatua kadhaa mtu anapitia hadi kufikia hitimisho kuwa huyo Mungu hayupo ni story tu.

Ni hatua kwa hatua, kutokuamini Mungu hakuhitaji mahubiri.

Kutoka kukaririshwa (Imani) ➡️Skeptic ➡️Atheist

Hii ni inaanzia ndani mwa mtu mwenyewe.
Kama mimi jinsi nlivyofanya tathmini na kusoma kwa umakini, uchunguzi wenye viwango vya lami.. N. K

Kwahyo hakuna mtu nliyemsikiliza nkamfuata.

Hivyo imani yako ni potofu.
 
Naona uzunguka mbuyu Sasa apo uliposema umefanya tathmini na kusoma Kwa umakini swali langu je hicho ulichokisoma kilikua kimeandikwa nañani?
 
Unataka kila nlichokisoma nicite reference hapa?
Jibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama ww
 
Jibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama ww
Unaelewa swali langu?
 
Jibu swali hicho kitabu unachosoma ww ambacho kilichokupa point za kutokumuamini Mungu kakiandika Nani au kimezuka tu itoshe kusema kuwa ww Yupo unaemuabudu ambae ni binaadamu Kama ww
Unavyoongea utadhan kweli huyo Mungu yupo
 
Mungu yupo naww karibuni utakuja kututhibitishia uwepo wake
Bahati mbaya huwezi kumthibitisha kama yupo.

Huwezi kwasababu hayupo.

Kujua kuwa Mungu hayupo hakuhitaji kusoma kitabu ama kuambiwa na mtu

Hujui hata kitabu chako cha hadithi kimeandikwa na nani
 
Bahati mbaya huwezi kumthibitisha kama yupo.

Huwezi kwasababu hayupo.

Kujua kuwa Mungu hayupo hakuhitaji kusoma kitabu ama kuambiwa na mtu

Hujui hata kitabu chako cha hadithi kimeandikwa na nani
Labda unambie ww kitabu changu kakiandika Nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom