Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

Mambo yake muachie mwenyewe...
Haya sio yake. Hili ni kundi ambalo linakulenga wewe na mimi na watoto wetu. Dunia ikiendelea kutoa kile ambacho kimepangwa juu yake, si muda mrefu haitakuwepo Tanzania, wala nchi yoyote. Globalists wanapanga kufuta mipaka ya ncho zote ili iwepo tu serikali moja duniani. Kwa hiyo mkuu, yanakuhusu 100%.
 
Kumbe wamepanga na hilo?
 
Freemason mambo yao ni ya kimoja moja hata ukikalia tako moja watakusema wewe ni freemason
 
Kumbe wamepanga na hilo?
Australia tayari wanaendelea kutangaza New World Order. Watu wanachanjwa kwa nguvu. Hali si hali. Dunia inadhani tunapambana na janga la kovid. Hiyo ni kifunika macho tu.
 
Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu.
Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza.
View attachment 1931473
Nini maana yake?
Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja.

View attachment 1931474
Je, ana chongo?
Anaumwa jicho?
Hapana.

Hiyo ni alama nyingine ya kimasoni.
Ni sawa na hizi hapa:
View attachment 1931475

KITENDAWILI?
Je, huyu ni nani?

View attachment 1931493
Je, anaumwa jicho?
Anaogopa mwanga?

Je, ninachotaka kusema ni nini?
Jua aina ya watu tunaokabiliana nao sisi kama human species.

Dunia inaendelea kupangwa;
And not in a good way AT ALL.
Asante mkuu kwa hii taarifa
 
Mm naona unaropoka...!!
Rejea hapa

Imepokewa kutoka kwa ‘Ubaadah bin as-Swaamit (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Nimekuelezeni mengi mno kuhusu Dajjaal na kwamba (bado) ninahofia hamutafahamu. Atakuwa ni mwenye jicho moja, jicho lake likiwa halijatokeza nje wala halijazama. Iwapo mutapata utata kuhusiana naye, basi kumbukeni kwamba Mola wenu sio mwenye jicho moja.”
[Abu Daawuud. Hadiyth hii ni sahihi – Swahiyhul-Jaami’ as-Swaghiyr]

##########
imepokewa kutoka kwa Ibn ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amelitaja (jina la) Dajjaal kwa watu na kusema: “Allaah Hana jicho moja, lakini Masiyh wa uongo (al-Masiyhud-Dajjaal) ni mwenye jicho moja (chongo), kipofu na mlemavu kwenye jicho lake la kulia, na jicho lake likionekana kama ni zabibu inayoogelea...”

[Imepokewa na Al-Bukhaariy

Sisi tumeshataadharishws nae huyo hizo shamra shamra zao wazungu tu kumpokea

Katika riwaya nyingine Atapokelewa na Wayahudi 72 elfu watamuwekea capert jekundu....!
Samahan nisamehe mkuu nllichanganya,dajjal ndo ana jicho moja....Allah yeye ndo ana mguu mmoja,macho mawili ila mikono miwili yote Iko upande mmoja
 
Umaskini utatoka siku tukimjua adui yetu ambaye ni yule anayekukopesha na unaanza kulipa madeni toka kizazi hadi kizazi. Lakini pia unamsikiliza kwa kila kitu na hutaki kufungua mawazo yako ujione kuwa unaweza - kama alivyoanza kutufungua Magufuli.
Kwani umelazimishwa kukopa?
 
Freemason mambo yao ni ya kimoja moja hata ukikalia tako moja watakusema wewe ni freemason
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo ile alama ya CCM [emoji106] inamaanisha CCM ni freemasons
 
Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu.
Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza.
View attachment 1931473
Nini maana yake?
Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja.

View attachment 1931474
Je, ana chongo?
Anaumwa jicho?
Hapana.

Hiyo ni alama nyingine ya kimasoni.
Ni sawa na hizi hapa:
View attachment 1931475

KITENDAWILI?
Je, huyu ni nani?

View attachment 1931493
Je, anaumwa jicho?
Anaogopa mwanga?

Je, ninachotaka kusema ni nini?
Jua aina ya watu tunaokabiliana nao sisi kama human species.

Dunia inaendelea kupangwa;
And not in a good way AT ALL.
Hapa wengine tumeachwa hewani, unataka tupokee nini?
 
Hapa wengine tumeachwa hewani, unataka tupokee nini?
Swali zuri. Napenda upokee ujumbe kwamba kuna mambo yanaendelea duniani, ambayo:
1. Wengin SANA hawajui
2. Hata wale tunaojaribu kuwaambia hawaamini.
3. Yanayoendelea SASA duniani yana uhusiano 100% na kundi hilo.
4. Hayo yanakuhusu moja kwa moja wewe na mimi maana lengo la hawa watu ni kuwa na ONE WORLD GOVERNMENT - ndio maana ya Agenda 2030 ya umoja wa mataifa.
 
4. Hayo yanakuhusu moja kwa moja wewe na mimi maana lengo la hawa watu ni kuwa na ONE WORLD GOVERNMENT - ndio maana ya Agenda 2030 ya umoja wa mat

Swali zuri. Napenda upokee ujumbe kwamba kuna mambo yanaendelea duniani, ambayo:
1. Wengin SANA hawajui
2. Hata wale tunaojaribu kuwaambia hawaamini.
3. Yanayoendelea SASA duniani yana uhusiano 100% na kundi hilo.
4. Hayo yanakuhusu moja kwa moja wewe na mimi maana lengo la hawa watu ni kuwa na ONE WORLD GOVERNMENT - ndio maana ya Agenda 2030 ya umoja wa mataifa.
Lengo nn kuwa na One World Government?
Je nchi kama Zetu hakutokuwa na Marais?
Je mipaka Ya Nchi Haitokuwepo?
Je fedha tunazotumia hazikuwepo?
Je kuhusu vyombo vya Ulinzi Vitakuwa na Mwingiliano?
 
Lengo nn kuwa na One World Government?
Je nchi kama Zetu hakutokuwa na Marais?
Je mipaka Ya Nchi Haitokuwepo?
Je fedha tunazotumia hazikuwepo?
Je kuhusu vyombo vya Ulinzi Vitakuwa na Mwingiliano?
Maswali hayo yote ndiyo central questions kabisa. Na majibu yake ni NDIYO. Isipokuwa swali la 2, eneo linaweza kuwa na kiongozi wake lakini One World Government itakuwa na mkubwa mmoja tu. Na umoja wa mataifa ndio itakuwa serikali kuu, huku jeshi lake likipewa uwezo wa kuwa deployed kokote duniani.

Ndio maana jambo kubwa wanalofanya sasa ni kubaini IDENTITY ya kila mwanadamu, ili wawe na uwezo wa kuku-track kokote uliko. Unaweza kusoma hapa ID2020 | Digital Identity Alliance

Fedha zitakazokuwepo ni cryptocurrency. Ndio maana ya patent ya bill gate WO2020060606 unayoweza kuisoma hapa - WO2020060606 CRYPTOCURRENCY SYSTEM USING BODY ACTIVITY DATA

Kwa kifupi hiyo itakuwa ni a totalitarian government kama unavyoona ya Korea ya kaskazini au china au ilivyokuwa nchi za kikomunisti.
 
Ushaambiwa masih Dajjal atakuwa na jicho moja hakuna cha kushangaa hapo)
Shusha elimu bingwa, sisi wengine ni wavivu kufukunyua, na tukishawishika kufukunyua tutakutana na habari za kimalkia, tayari inakuwa unaingia chumba cha mtihani kwa hiari, na kwakuwa hiari ushinda utumwa, unaona ya nini!

Kwahiyo wenye vipaji vyenu na maandishi, tusaidieni na sisi tujue kidogo kupitia hapa JF, kwa kikwetu tafadhali
 
Back
Top Bottom