kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,922
Mwendokasi kesha sema mnaoishi kama malaika ni wakati wa kuishi kama shetaniHili tatizo la sukari halikuwepo kabisa lakini kutokana na papara zao wakalileta na sasa wanashindwa kulimaliza. Bora wanyamaze kabisa tujihangaikie wenyewe maana hakuna nafuu yoyote kutoka katika matamko yao zaidi ya kututia hasira.