Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,809 34,193 Jan 7, 2016 #2 Amavubi said: View attachment 315417 Click to expand... Amependeza Waziri Mkuu Msataafu
mbongo_halisi JF-Expert Member Apr 16, 2010 6,843 5,230 Jan 7, 2016 #7 Amavubi said: View attachment 315417 Click to expand... Mbona amekalia gogo, mi nilifikiri alipanda mlima akachoka na kuhamua kukaa juu ya jiwe ili apumzike.
Amavubi said: View attachment 315417 Click to expand... Mbona amekalia gogo, mi nilifikiri alipanda mlima akachoka na kuhamua kukaa juu ya jiwe ili apumzike.
mwenye shamba JF-Expert Member May 31, 2015 978 1,766 Jan 7, 2016 #8 achen kukwepesha..kabanwa haja kubwa.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jan 7, 2016 Thread starter #9 MziziMkavu said: Amependeza Waziri Mkuu Msataafu Click to expand... anatafakari kuwafuta wenzie CDM
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jan 7, 2016 Thread starter #10 mwenye shamba said: achen kukwepesha..kabanwa haja kubwa. Click to expand... MIE SIMO HAPO
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jan 7, 2016 Thread starter #11 mbongo_halisi said: Mbona amekalia gogo, mi nilifikiri alipanda mlima akachoka na kuhamua kukaa juu ya jiwe ili apumzike. Click to expand... lugha hiyo mkuu tafakari
mbongo_halisi said: Mbona amekalia gogo, mi nilifikiri alipanda mlima akachoka na kuhamua kukaa juu ya jiwe ili apumzike. Click to expand... lugha hiyo mkuu tafakari
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,978 3,888 Jan 7, 2016 #12 Huyu bwana sidhani kama atakuja kumsamehe yule mkweree!!
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Apr 2, 2015 8,018 16,801 Jan 7, 2016 #13 Amavubi said: View attachment 315417 Click to expand... hakika sasa nimeamini kuwa sura na mwonekano wa " jasusi " yoyote hasa yule aliyekomaa na kuiva huwa haibadiliki na haubadiliki.
Amavubi said: View attachment 315417 Click to expand... hakika sasa nimeamini kuwa sura na mwonekano wa " jasusi " yoyote hasa yule aliyekomaa na kuiva huwa haibadiliki na haubadiliki.
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,768 19,303 Jan 7, 2016 #14 Huu ni uharibifu wa miti, gogo lote hilo kalikalia peke yake. Si bora angetengenezewa kistuli vipande vingine vya gogo vitumike kwa matumizi mengine.
Huu ni uharibifu wa miti, gogo lote hilo kalikalia peke yake. Si bora angetengenezewa kistuli vipande vingine vya gogo vitumike kwa matumizi mengine.
sansam100 JF-Expert Member Oct 24, 2015 292 168 Jan 7, 2016 #16 Inabidi akae kijiweni tu maana hakuna namna
tamimusalim JF-Expert Member Jun 17, 2014 1,822 498 Jan 7, 2016 #17 Ndio kilichobakia si ameshidwa kuiba shauli yake!!!