Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,348
Ongezea nyama kidogTanzania inaongozwa kidharula kwa sasa labda hatujafamu tu nini kinaendelea, Bunge limeshasimamishwa, ni Coup !
Ayubu akijiuzulu ataonyesha ufala Sana.Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
Spika ni Dr Emmanuel Nchimbi
Tema chiniTanzania inaongozwa kidharula kwa sasa labda hatujafamu tu nini kinaendelea, Bunge limeshasimamishwa, ni Coup !
Ni mbunge wa kuchaguliwa?Tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
Spika ni Dr Emmanuel Nchimbi
Mimi napatwa sana na uoga maana tarehe kama hizi mwaka jana kuna mtu alisema hatamaliza na Kassim, na kweli ikawaSiamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.
Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?
Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
Prof Kabudi!Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.
Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa ni chaguo lake na yeye. Sasa hivi Majaliwa siyo chaguo lake, alimrithi kutoka JPM.
Kama siyo Majaliwa nani anaweza kusimamia agenda ya Samia?
Je ni zamu ya mwanamke?
Mmoja wa vijana wake wataka Urais?
juzi tu alikuwa siti ya mbele hukumuona au?Kabla hatujafika huko, kwanza tujibu swali hili;
Vice President, Dr. Philip Mpango yuko wapi? What's wrong with this Mzee?
Majaliwa apisheSiamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule.