Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Nenda Brazil,Argentina ,Cuba ,China na kiingereza chako kama uta survive
Brazil ipi?, argentina ipi? Cuba ipi? China ipi?
Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya nchi za zamani na sasa hivi.
Hebu jiulize? Km Cuba wanaongea lugha yao tu. Majaliwa ameenda kufanya nn?
Sasa hivi asikudanganye mtu. Lugha ya kiingereza ni lugha ya dunia kwa sasa. Popote unapoenda kiingereza ndiyo lugha inayounganisha watu.
Hizo nchi zilikuwa zinasisitiza lugha yao kipind wapo kwenye socialism but now wapo kwenye capitalism.
Mambo yote ni english ukitafuta katiba ya Brazil imeandikwa kwa kiingereza