Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

CUBA nchi masikini sana please asiwaombe msaada tutaaibika
Madaktari bingwa wanatokea Cuba. Hata km ni wajamaa wsko mbele sana. Unafahamu ndio waliotujengea Kilosa Sec (kizunguzi), Ruvu Sec, Ifakara za kilimo na waliweka kila kitu. Saloon, majiko ya kisasa nk. Infact zingekuwa hazjaharibiwa zingefaa kuwa Chuo Kikuu. Hadi mashuka kwa wanafunzi walileta. Hata IT yso komesha. Kuna waTz wanasomea u Dk huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
===
wewe huna exposure, naishi na wacuba huwezi kuamini mpaka leo cuban professor analipwa chini ya USD 200. Kwao msaada mkubwa nipale wanapopata trip za kuja nje na wakipata pesa wanadeclare serikalini...kumbuka enzi za mwalimu
Kwanza soma system ya socialism inavyoendeshwa ndio utaelewa
 
Sasa hiv siyo km zamani. Lugha ya ulimwengu ni kiingereza. Ukikijua sehemu yyte unaishi na kufanya mambo yako vizuri.
Nenda Brazil,Argentina ,Cuba ,China na kiingereza chako kama uta survive
 
Wanatumia kireno mkuu
No wanatumia Kihispania. America nzima nchi inayotumia kitendo ni Brazil pekee na nyingine karibia zote zina tu Mia Kihispania. Mfano Bara la America Kusini, ni Brazil, Guyana na French Guiyana pekee ambazo hazitumii Kihispania.
 
Hivi inaleta picha gani kila mzaza anapotakiwa kwenda mahali haendi badala yake anamtuma mwanae/kijana wake?
Unadhani hao wazee wenzako watakuja au wataamua kutulia kwao pia?

Washauri waliangalie hili kwa jicho la kidiplomasia zaidi
 
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.

Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.



Sent using Jamii Forums mobile app
The Cuban media are tightly controlled by the government and journalists must operate within the confines of laws against anti-government propaganda and the insulting of officials which carry penalties of up to three years in prison.

Reporters without Borders in early 2016 described Cuba as "one of the world's worst countries from the viewpoint of journalists… independent journalists and bloggers are constantly persecuted by the Castro government".
 
===
wewe huna exposure, naishi na wacuba huwezi kuamini mpaka leo cuban professor analipwa chini ya USD 200. Kwao msaada mkubwa nipale wanapopata trip za kuja nje na wakipata pesa wanadeclare serikalini...kumbuka enzi za mwalimu
Acha ubishi wa kijinga. Cuba wameendelea sana kwenye masuala ya uganga wa binadamu. Wako vizuri sana, licha ya umasikini wao. Kukaa Cuba sio tatizo wewe umekaa (najua unasoma) na umeshindwa kugundua hilo na wala sisi hatuongelei malipo ya wafanyakazi. Lakini pia kuna masuala mengi Cuba wako vizuri na wanaweza kutusaidia.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.

Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATANO, AGOSTI 16, 2017.
Ni vyema tukikumbuka historia ya uhuru wetu. Nilisikitishwa na jinsi tulivyoshiriki mazishi ya Fidel Castro. Uwakilishi wa Tanzania ulikuwa hafifu sana. Ebu tujirudi kama taifa
 
Kuhusu malipo, nime google mishahara ya madaktari wa Cuba kwa
mwezi, sikuamini, ni midogo sana kiasi nashindwa kuelewa wanaishije, average $60 kwa mwezi ? Hebu ona hii
Anonymous
Answered Jan 19
I haven't been in Cuba for a long time. But I am receiving email communications with My family.

Doctors, Engineers and other high pay jobs makes a month around 45 to 60 CUB (equivalent to an American Dollar)
 
Back
Top Bottom