Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,698
Reaction score
2,262
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.

Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATANO, AGOSTI 16, 2017.
 
it seems huna exposure na international issues...
===
wewe huna exposure, naishi na wacuba huwezi kuamini mpaka leo cuban professor analipwa chini ya USD 200. Kwao msaada mkubwa nipale wanapopata trip za kuja nje na wakipata pesa wanadeclare serikalini...kumbuka enzi za mwalimu
 
Kweli tutawastaajabisha cube tukiwaomba msaada... labda Watalaam wa Madawa
 
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.

Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziara nzuri sana,wapanga mkakati wa ikulu wanajua sana
 
Back
Top Bottom