Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

Waziri mkuu Majaliwa ziarani nchini Cuba

Kuhusu malipo, nime google mishahara ya madaktari wa Cuba kwa
mwezi, sikuamini, ni midogo sana kiasi nashindwa kuelewa wanaishije, average $60 kwa mwezi ? Hebu ona hii
Anonymous
Answered Jan 19
I haven't been in Cuba for a long time. But I am receiving email communications with My family.

Doctors, Engineers and other high pay jobs makes a month around 45 to 60 CUB (equivalent to an American Dollar)
Rudi shule halafu soma namna socialism na communism inavyofanya kazi ndio utaelewa na hutoshangaa
 
Brazil ipi?, argentina ipi? Cuba ipi? China ipi?

Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya nchi za zamani na sasa hivi.

Hebu jiulize? Km Cuba wanaongea lugha yao tu. Majaliwa ameenda kufanya nn?

Sasa hivi asikudanganye mtu. Lugha ya kiingereza ni lugha ya dunia kwa sasa. Popote unapoenda kiingereza ndiyo lugha inayounganisha watu.

Hizo nchi zilikuwa zinasisitiza lugha yao kipind wapo kwenye socialism but now wapo kwenye capitalism.

Mambo yote ni english ukitafuta katiba ya Brazil imeandikwa kwa kiingereza
Bora uishi Tanzania uta survive lakini sio Brazil na kiingereza chako ,kuanzia kindergarten mpaka chuo kikuu lugha ya kufundishia ni kireno vuta picha mtu amezaliwa ,amesoma na amehitimu ni kireno tu atakuwa na uelewa gani na kiingereza pia tizama marais wote mpaka wa sasa lugha wanayotoa kwenye hotuba za kimataifa ni kireno

Brazil ni asilimia chache labda 2% wanaojua kiingereza ,maofisini,mahakamani ,vyuoni ,shuleni ni kireno tu na hiyo katiba labda iwe imeyafsiriwa kwa kiingereza lakini imetungwa kwa kireno

Hata hao Argentina ni hivyo hivyo tofautisha Africans British colony na mnaofuata common wealth na Latin America

Kule nenda na kiingereza chako utakufa njaa ,professor mkubwa lkn kiingereza hajui
 
Bwana mdogo naifahamu vizuri dunia kuliko unavyodhania. Kuwa na subtitle za kingereza sio kigezo cha kwamba lugha nyingine hazipo au hazina maana. Ni strictly business, hao hao wachina wanaotaka kuuza biashara zao kwenye mataifa yanayotumia kingereza, wanawapatia elimu zao watoto wao kwa lugha yao, kwanini wasiamue kukitumia kingereza mashuleni mwao kuanzia chekechea?.

Kwanini wajerumani mpaka kesho wanawafundisha watoto wao kwa kijerumani katika shule za msingi na sekondari?.

Nakiheshimu sana kingereza lakini sijakubali kuwa mtumwa kiasi cha kukiona ni lugha itakayomuingiza mtu mbinguni.

Nani alikuwambia ukijua kiingereza ndiyo utaenda mbinguni?Wajerumani, wafaransa, cuba, russia na wengine wanatumia lugha zao km lugha ya taifa lkn kiingereza hakikwepeki wala hakiepukiki. Lugha ya kiingereza ujerumani inatumika km lugha rasmi. Hata ufaransa nako hivyo hivyo.
Wachina, wajerumani na wafaransa ni km hapa bongo tunavyotumia kiswahili.
Swali. Leo umepata ziara uarabuni, na uarabun lugha yao ni kiarabu je, utakapofika uarabuni utaongea kiswahili? Najua kiarabu hukijui.
Mkuu nafikiri hujui matumizi ya lugha ya kiingereza. Na kujua kiingereza siyo utumwa bali itakufanya ujue mambo mengi sana. Na kiingereza ndiyo lugha ya dunia na ni lugha inayowaunganisha watu wengi.
Kwa vile umechangamana na wabongo wanaongea kiswahili huwezi kujua thamani ya lugha ya kiingereza. Tafuta marafiki kutoka nchi za mbali, km ujerumani, ufaransa, china, cuba n.k uone mambo yanakwendaje.
International business zote zinafanywa kwa lugha ya kiingereza. Unafikiri kwann Magu kipind yupo AU kwann alimuweka mkalimani?
Pole sana km hujui matumizi ya kiingereza. Kwa vile unachangamana na wabongo wenzako wanaojua
 
Bora uishi Tanzania uta survive lakini sio Brazil na kiingereza chako ,kuanzia kindergarten mpaka chuo kikuu lugha ya kufundishia ni kireno vuta picha mtu amezaliwa ,amesoma na amehitimu ni kireno tu atakuwa na uelewa gani na kiingereza pia tizama marais wote mpaka wa sasa lugha wanayotoa kwenye hotuba za kimataifa ni kireno

Brazil ni asilimia chache labda 2% wanaojua kiingereza ,maofisini,mahakamani ,vyuoni ,shuleni ni kireno tu na hiyo katiba labda iwe imeyafsiriwa kwa kiingereza lakini imetungwa kwa kireno

Hata hao Argentina ni hivyo hivyo tofautisha Africans British colony na mnaofuata common wealth na Latin America

Kule nenda na kiingereza chako utakufa njaa ,professor mkubwa lkn kiingereza hajui

Naona unajichanganya mkuu. Kila taifa lina lugha yake km Kiswahili kinavyotumika hapa bongo.
Tanzania pamoja na watu wake kutumia kiswahili lkn kiingereza ni lugha rasmi.
Back to Brazil. Brazil wanatumia kireno na ndiyo lugha ya taifa. Nchi yyte inayotumia lugha fulani sharti viongozi na masuala yote yatatumike kwa lugha hiyo lkn kiingereza inakuwa ni rasmi, inatumika kwenye masuala rasmi. Ni sawa na hapa bongo raisi au kiongozi yyte afanye mkutano kwa lugha kiingereza hawezi kueleweka kwasbb watu wake wanatumia kiswahili. Nakujua kiingereza haimfanyi mtu kuwa na maisha mazuri la hasha bali itakufanya ujue mambo mengi na kuweza kuchangamana na watu.
Ndiyo maana kiongozi yyte atapodhuru au mtu anapoenda sehemu kiingereza hutumika km lugha ya dunia ya kuwaunganisha watu. Ww ukienda brazil, lugha itakayokuunganisha ni kiingereza.
Na si lazima watu wote wajue kiingereza ila kuna ulazima wa watu kujua. Hapa bongo watu wanazungumza kiswahili, unafikiri alipokuja Billgate, watu waliokuwa wanaongea naye walikuwa wanatumia Kiswahili?
Brazil kutumia kireno haimaniishi kuwa matumizi ya kiingereza hayapo yapo.
Mkuu hebu changamana na watu kutoka nchi mbali mbali, ukichangamana na wabongo huwezi kujua yanayoendelea ulimwenguni.
Km unajua lugha zaidi ya 50 hapo haiwezi kukupa shida ila km mm ninayejua kizinza, kiswahili na kiingereza. Unafikiri nikienda brazil nitazungumza kiportuguese?
Nchi na watu wake kuzingumza lugha fulani haimaanishi lugha ya kiingereza haitumiki. Hapa bongo tunaongea kiswahili lkn kiingereza kinazungumzwa km kawaida.
Unafikiri kwa nn Jamii forum terms & conditions wameandika kwa kiingereza?
UKITAKA KUJUA UMUHIMU WA LUGHA YA KIINGEREZA BADILISHA LUGHA YA SIMU YAKO IWE KISWAHILI
 
Brazil ipi?, argentina ipi? Cuba ipi? China ipi?

Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya nchi za zamani na sasa hivi.

Hebu jiulize? Km Cuba wanaongea lugha yao tu. Majaliwa ameenda kufanya nn?

Sasa hivi asikudanganye mtu. Lugha ya kiingereza ni lugha ya dunia kwa sasa. Popote unapoenda kiingereza ndiyo lugha inayounganisha watu.

Hizo nchi zilikuwa zinasisitiza lugha yao kipind wapo kwenye socialism but now wapo kwenye capitalism.

Mambo yote ni english ukitafuta katiba ya Brazil imeandikwa kwa kiingereza
mkuu ukitukanwa tusi la mama utalalamika?
 
Rudi shule halafu soma namna socialism na communism inavyofanya kazi ndio utaelewa na hutoshangaa
WW ambae umeenda shule ukasoma socialism na communism, hebu nielimishe kwa nini tunaambiwa uchumi unakuwa ilhali pesa haionekani
 
Back
Top Bottom