Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Waziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa marufuku hiyo alipokuwa akizindua baraza la kupambana na dawa za kulevya, amesema haitakiwi kutangazwa kwa mtuhumiwa yeyote bila ya kuthibitisha uhusika wake katika madawa ya kulevya!

Licha ya kutoa marufuku hiyo, Waziri alimpongeza RC Makonda kwa kupambana na vita hiyo!

My take, Makonda jiangalie na watu ambayo ulishawataja hadharani!
kumekucha sasa
 
Mhhh aisee. Amesema ukweli kwa kuwa katika kesi kama hizi ambazo exhibit huna inahitaji umakini wa hali ya juu sana ili kwanza uweze kufanya intelligenjia na kupata evidence. Kumdhalilisha mtu hadharani ni kosa kubwa sana na akikifungulia kesi fidia yake ni hatari hasa kwa janga kubwa kama hili la kijamii. Mfano wafanyabiashara wakubwa kuua reputation na biashara zao fidia yake ni mapigo ya moyo. Ameona mbali sana.
 
Waziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa marufuku hiyo alipokua akizindua baraza la kupambana na dawa za kulevya, amesema haitakiwi kutangazwa kwa mtuhumia yeyote bila ya kuthibitisha uhusika wake katika madawa ya kulevya!

Licha ya kutoa marufuku hiyo, Waziri alimpongeza RC Makonda kwa kupambana na vita hiyo!

My take, Makonda jiangalie na watu ambayo ulishawataja hadharani!
kumekucha sasa
Hata hivyo RC anatamani amfunike Waziri Mkuu. Katika taaluma ya uongozi inajulikana kama "game of power"
 
Waziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa marufuku hiyo alipokua akizindua baraza la kupambana na dawa za kulevya, amesema haitakiwi kutangazwa kwa mtuhumia yeyote bila ya kuthibitisha uhusika wake katika madawa ya kulevya!

Licha ya kutoa marufuku hiyo, Waziri alimpongeza RC Makonda kwa kupambana na vita hiyo!

My take, Makonda jiangalie na watu ambayo ulishawataja hadharani!
kumekucha sasa
Sasa kama kamsifia kunakuchaje tena? Hii kazi ingekuwa serikali haiitambui basi Makonda asingepongezwa na usikae ukafikiri hii ni vita ya mtu
 
Bado kijana ananafasi ya kujirekebisha na kuwa bora kabisa miaka ijayo. Wote wanazungumzia Madawa baada ya vita hivi ni kweli wanajadili maono ya kijana mdogo aliyethubutu japo kwa mapungufu yaliyojitokeza. Amefungua mlango uliokuwa umejaa buibui vumbi na kutu miaka Mingi. Tunaomba wahusika Sasa wamalize kabisa kwa usahihi usio na Shaka.
 
Ile vita ya Albert Makonda na Majaliwa K Majaliwa ipo episode ya ngapi vilee.......na badooo!!!
 
Yeye Kama Nani? Maana Makonda ni Makamo wa Rais!

The Real Hierarchy

1.Rais Magufuli
2.Makonda
3.Majaliwa Kasimu
4.Dr. Tulia
:------------------
:-------------------
:-------------------
:-------------------
:-------------------
11:Mrisho Gambo
:------------------
:------------------
23.Samia Suluhu
 
Wenye akili tulikuwa tunaelewa toka mwanzo yule bwana hakuwa na nia ya dhati ya kupambana na madawa ya kulevya.. Alikuwa na ajenda zake za siri.. Kawaburuza mpaka maofisa wa polisi wenye akili zao kwenye crusade yake ya kujitafutia umaarufu huku akiwachafua wale aliotumwa awachafue..
 
Waziri mkuu Kasim Majaliwa ametoa marufuku hiyo alipokua akizindua baraza la kupambana na dawa za kulevya, amesema haitakiwi kutangazwa kwa mtuhumia yeyote bila ya kuthibitisha uhusika wake katika madawa ya kulevya!

Licha ya kutoa marufuku hiyo, Waziri alimpongeza RC Makonda kwa kupambana na vita hiyo!

My take, Makonda jiangalie na watu ambayo ulishawataja hadharani!
kumekucha sasa

alikuwa wapi toka zamani? hapa maigizo too late braza ulitakiwa uwe wa kwanza kutoa tamko
 
Back
Top Bottom