Uuzaji nyumba za Serikali , Ununuzi kivuko , kuna pesa zilipotea Wizara ya Ujenzi na Ujenzi wa barabara nyembamba toka Ubungo mpaka magomeni , kule UDOM mwanae bado yupo lakini wale wa masikini vilaza wapo Mtaani wanataabika , NSSF bajeti ya Ujenzi wa daraja la Kigamboni ilizidishwa mara dufu nk.Ukisema hivyo hata JPM alikuwa Waziri kipindi cha JK; kwa hiyo naye sijui tusemeje kuhusu madudu yaliyofanyika wakati akiwa mmoja katika baraza la mawaziri?!
