Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi?

Waziri yuko.dodoma analitumikia taifa subiri vikao vya bunge viishe utamuona tu
 
Kwa kawaida bunge likiwa ktk vikao vyake, Waziri mkuu ndye kiongozi wa shughuli za serikali bungeni na ni nadra kukosekana kwake bungeni. Hivyo basi muacheni kwanza hadi bunge limalize vikao vyake.
Tunajua hilo lakini Biafra ilikuwa ni Jmosi na mara kadhaa anaweza kumkaimisha mtu kama Mwakyembe akakimbia kumsapoti Magu akarudi Jpili jioni. Mimi naona kuna tatizo ikizingatiwa PM hakuwa chaguo la JPM isipokuwa ni shinikizo CC ya CCM, JK chini ya uangalizi wa macho makali ya Bernard Membe (ukusini).
 
Du ulikuwepo mkuu
 
Jamii forum inazidi kushuka chati kadri siku zinavyozidi kwenda. Zamani Jamii forum ilikua kweli ya great thinkers ila kwa sasa inaanza kuchuana na facebook.
Nilidhani ungekuja na mchango wa kigreat thinker kumbe mipasho ileile, two wrongs don't make it right
 
Nilidhani ungekuja na mchango wa kigreat thinker kumbe mipasho ileile, two wrongs don't make it right
Nisingeweza kucomment maana nahitaji nifungue darasa nikufundishe kwanza ndipo nicomment
 
Wengi tu wamepoa baada ya mda hapa tutakuwa hatuna tena watumbuaji majipu
 
Naamini hadi JPM anamteua alijiridhisha kabisa so sidhan kama angeteua mtu ambaye ni jipu
Huyo mkuu yeye majipu yake alipokuwa waziri atatumbuliwa na nani? Mikutano yakusemea marufuku. Kwa hiyo hata huyo WM ana majipu yake ya nyuma. Ila waswahili wanasema ukimchunguza sana kuku humli na ndivyo alivyofanya mkuu wa kutumbua.
 
Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe

Ni muda wa kuunda team na kufumua na kuunda mfumo wa kuigeuza Tanzani iingie uchumi wa Kati. Subiri utaona tu matokeo.
 
Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Bomu la Richmond ya sukari linamchungulia baada ya wajanja kutumia fursa ya uhaba wa sukari kupiga Madili ya vibali na sukari ya magendo , yupo busy kubuni mbinu ya kupangua isije ikawa Kama ile Richmond ya umeme tena ambapo uhaba wa umeme ulizaa ufisadi Kama huo huo wa sukari sasa , tayari Mjanja namba One wa ccm Yaani mkuu wa fursa na maujanja , Uchakachuaji na kamati za Ufundi za ccm Mr January Makamba keshashiba pesa kupitia fursa hiyo hiyo ya kufa kufaana, katumia nafasi ya ujanja kuwahi ccm ni ile ile .
 
Huyu Majaliwa alikuwa Naibu Waziri wa Tamisemi kipindi cha JK, na madudu yooote ya huko anayajua. Likiwemo hili la wafanya kazi hewa. Atakuwa ameguswa pabaya.

Ukisema hivyo hata JPM alikuwa Waziri kipindi cha JK; kwa hiyo naye sijui tusemeje kuhusu madudu yaliyofanyika wakati akiwa mmoja katika baraza la mawaziri?!
 
Huyu Majaliwa alikuwa Naibu Waziri wa Tamisemi kipindi cha JK, na madudu yooote ya huko anayajua. Likiwemo hili la wafanya kazi hewa. Atakuwa ameguswa pabaya.
Yupo busy anatafakari jinsi ya kujinasua na Dili la sukari ambalo wajanja wamemzidi Akili wakapiga humohumo huku sukari ya magendo kutoka Nchi za malawi, Uganga , Kenya nk ikipata soko zaidi Nchini .
 
Ila kusema ukweli Majaliwa kapotea, pengine amepangiwa majukumu mengine
 
Back
Top Bottom