Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Yuko bungeni
amefunga kwanza ramadhan ikiisha atendelea🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Usiogope mkuu, nitakulinda kama wastaafu wanavyolindwa.Mmmm, ngoja nikae pemben ntarud baaday maana nisije nikaongea kitu nikajikuta nipo segerea
Hasa pale ambapo ubadhirifu unatokea wizara ya ujenzi na ripoti ya CAG ikaweka wazi na muhusika ndo bosi wako. Hapo ukali unazidi hadi unaamua tu kukaa kimya!Bora afanyekazi kimyakimya lakini ya ukweli, ya uhakika, ya kutenda haki, ya maendeleo
Badala ya staili ya kuwazodoa watu laivu kwenye Macamera halafu eti baadae ndo uwachunguze kama wamekosea au la!
Nadhani PM amejitafakari sana na ameamua kutumia approach mpya ambayo binafsi naiunga mkono.
Hata hivyo Ukali na zero tolerance kwa uzembe na ubadhirifu wa mali ya umma ni muhimu sana kwa nchi kama ya kwetu,
Una akili sana. Wasira ndo atakuwa amempa akili hii.Amejifunza kuepuka mistake aliofanya luwasa wakt wa jk maana kumfunika raisi ni treason hhahahaa
nani kakwambia majaliwa mkristo ,siku nyingi alishafuata dini ya mke wake kama hujui jamaa ni mgalatia safiAmefunga. ...
Nilimuona jamaa (PM) kwa picha moja akiwa ndani ya kanzu na barhghashia + majina yake, nikajua mwenzetu. Nilichokisahau tu kwamba hata yanga huvaa kijani na njanonani kakwambia majaliwa mkristo ,siku nyingi alishafuata dini ya mke wake kama hujui jamaa ni mgalatia safi
Soda imeisha gesi yakeSiku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Ila kwel kapoa mno.. Sjui ndio majukum yamekua mengiSiku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
We subiri ya kasulu utayasikia. Ndo utajua alikuwa wapi?Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Hapana mkuu majukum ya wazr yapo pia yacyo.ya halaiki huwez kfanya kaz za office hku unapga mayowe
Nilimuona jamaa (PM) kwa picha moja akiwa ndani ya kanzu na barhghashia + majina yake, nikajua mwenzetu. Nilichokisahau tu kwamba hata yanga huvaa kijani na njano