Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe