Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,641
- 9,457
Jiwe lipi hilo limekuwa kuu? Unaongelea hili jiwe lililopasuka ???? Acha ndoto za alinacha , he is no more, puga kazi mzee, hafufuki tena fanya kazi acha kusubiri kuitwa mnyonge.FITINA, UZANDIKI, CHUKI, UCHOYO, ROHO MBAYA ndio vinakusumbua
Paukwa pa pakawa...........................jiwe lililokataliwa ndio litakuwa jiwe kuu la pembeni kunusuru ukuta wa nyumba kuanguaka