Hyo ndo kazi ya serikali awamu hii! UTUNBUAJI tu ili kuleta hofu na woga na sio kuleta ufanisi wa kazi!
Awamu hii ni matukio tu hakna cha maana!
Ghala la taifa liko kila kanda.Hivi huko si ndo ghala la taifa la chakula lilipo?
But haikuwa na madhara ilikuwa ni bashasha tele kama uonavyo kwenye pichaTukumbuke jana alianza na ziara kwenye ghala
![]()
Duh ila jamaa alivyonyoa tu hilo funk utaweza kukubali ndiye CEO wa shirika kubwa kama hilo. Duh!Tukumbuke jana alianza na ziara kwenye ghala
![]()
Haijapita hata miezi miwili tangu mtendaji mkuu wa ghala hilo asimamishweAtakuwa ameshtushwa na taarifa kuwa kwenye ghala za chakula kimebaki chakula cha siku nane tu. Nadhani yuko kwenye mishe ya kukagua ghala za chakula...
Walikulingia nini kununua mazao yako mkuuHuu ni ushahidi mwingine kuwa nchi haina hifadhi ya chakula chakutosha maana Leo asubuhi PM kaenda kukagua gara la chakula la taifa na Leo hii kakimbilia Ruvuma kucheki hali ikoje. pole yao maana huu sio msimu wa mavuno kazi mnayo
Na mwakani mlinge tena kununua mahindi kama mlivyofanya mwakajana Ueni tu WATANZANIA kwa njaa mungu anawaona.
wife wa mkuu wa mkoa ni mzungu au anakunywa maji kama ya ray bongo movie![]()
kulia ni mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mama Mahenge
Atakuwa ameshtushwa na taarifa kuwa kwenye ghala za chakula kimebaki chakula cha siku nane tu. Nadhani yuko kwenye mishe ya kukagua ghala za chakula...
au tu kwamba kisitolewe msaada ili serikali ipate pesa ...shida hatupendi kuambiwa ukweli mkuu wanguHiyo Safari nadhani ni ya kwenda kupiga tanji chakula kisitoke... kuelekea popote maana Amri ishapita kila mtu abebe msalaba wake... wacha kikae humo kioze ndio Misalaba yenyewe... Masikini Ustaadhi Maja hakutegemea kutawala kwa namna hii ila ndio kazi tena afanyeje! Mwenyezi mungu Akupe uvumilivu ila ukiona hali tete ya kukufanya uje ushindwe kuona Pepo achia Dunia tunapita tu