Waziri Mkuu Atua na Kupokelewa Ruvuma

Waziri Mkuu Atua na Kupokelewa Ruvuma

Kuwa mke wa mkuu wa mkoa haitoshi.Kwani waziri mkuu alienda kuisalimia/kuitembelea familia ya mkuu wa mkoa?
Una point nzuri, ila kuna ubaya gani mtu kwenda na mkewe?
Ungejuaje kama jamaa kaoa mrusi.
Afu huyu mrusi wa kijijini huyu sio wale wa moscow.
Atakuwa katola tula au kazan au mkakfaz( caucasian)
 
Back
Top Bottom