Waziri Mkuu Atakayefanye Vurugu Atakiona Cha Mtema Kuni

Inabidi watoe vitisho ili waonekane kuna watu wanapambana nao kwenye uchaguzi kumbe wanapambana na hewa.
Mkuu huyu mkulu haelewi kuwa kauli yake hiyo ni ya kuvuruga uchaguzi. Ukimuuliza maana ya neno kuvuruga ni nini? Atakwambia lazima watu wakapige kura. Wenye akili walushajua si uchaguzi bali uchafuzi wamewaachia waendelee.
 
Ma ccm yanawazaga kupiga na kuuwa siku zote! Yamekasirika wapinzani kujitoa, sasa wanatafuta visababu vya kuwapigia au kuwa..a kabisa!
 
Waziri Mkuu amesema kuwa kampeni za uchaguzi zitaanza kuanzia tarehe17-23 November mwaka huu. Anasema atakayefanya fujo atakiona cha mtema kuni. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini mbona vyama vya upinzani vimeshajitoa na havitoshiriki. Jana ilikuwa vitisho vya igp Siro, Leo waziri mkuu, hivi wanataka nini hawa.

Majaliwa asijiharibie credibility yake kwa jamii aache vitisho.Kwanza kampeni ya nn hali mgombea ni mmoja wa ccm aliyepita bila kupingwa.Labda kama ni kampeni ya massm kwa massm sawa
 
Ma ccm yanawazaga kupiga na kuuwa siku zote! Yamekasirika wapinzani kujitoa, sasa wanatafuta visababu vya kuwapigia au kuwa..a kabisa!
Umenena safari hii kafala ya damu hakuna wapinzani wamewaachia goli wafunge watakavo,upinzani umekwepa mtego wa kubambikwa
 
Acha kutisha watu kwani kuna mtu wa mbegu hapa,wote tutakufa,alikufa ibrahimu na miaka 800.itakuwa sisi wacha ccm watuuwe wote wabaki peke yao
Mkuu huwa hawasemi tu, ni kwa sababu wana habari za kuaminika kutoka kwa intelligence sio bure. Wewe lala salama wenye yao wanajifahamu. Tupo kwenye key boards hapa kwa sababu nchi ni salama.
 
Kwa kauli hii ni marufuku mpinzani kusogelea sanduku la kura utabambikiwa kesi nahisi kuna kundi la maigizo limetayarishwa kupigwa na kuwekwa ndani
 
Waziri Mkuu amesema kuwa kampeni za uchaguzi zitaanza kuanzia tarehe17-23 November mwaka huu. Anasema atakayefanya fujo atakiona cha mtema kuni. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini mbona vyama vya upinzani vimeshajitoa na havitoshiriki. Jana ilikuwa vitisho vya igp Siro, Leo waziri mkuu, hivi wanataka nini hawa.
Maana yake kwakuwa mmeishajitoa, kaeni mbali na uchaguzi la sivyo kipigo cha mbwa mwizi kinawasubiri.
 
Hivi ni nani hasa mwenye akili atakayefanya vurugu kwenye huu uchaguzi batili wakati watu wamejitoa kwenye uchaguzi baada ya kufanyiwa hila lukuki na ccm wamebaki wenyewe.. si wasubiri muda ufike wajichague tu au wajipitishe na mchezo uishe...
Sijui kinachowasumbua nini? Mpaka wamwage damu za watu ndio watulie?
 
Ni kweli roho za uhalifu huwa zinatapatapa saana.

Yaani sijawahi kuona kabisa kwamba eti hiki kitu kinaitwa uchaguzi...kweli CCM iliondoka na muasisi wake...kwa sasa watoto wanagawana mbao na misumari chama nyaka ni nyaka.
Mwalimu Nyerere hayati alishaonya mtu akizoea kula nyama za watu hawezi kuacha.
 
Kimsingi viongozi wetu hawako committed na ujenzi wa demokrasia katika nchi hii kwahiyo wako tayari kufanya lolote lile kuakikisha wanabaki madarakani na kuminya wale wenye mawazo mdadala mimi nafikili kwa hulka yetu sisi waafrika mfumo huu hautufai tumeingia kwa presha tu ya wakubwaHapa mfumo wa vyama vingi unaitaji jamii iliyojengeka katika misingi fulani ambayo sisi waafrika kwa nature ya roho zetu hatuwezi kuendana nao
Vipi Botswana na Ghana mbona mfumo wa vyama vingi wanaviendesha vizuri tu? Hapa kwetu tatizo ni wachumia tumbo, genge la waharifu na mafisadi wa kijani kibichi ccm.
 
Hahà nilitaka nikutusi nikaacha! Baba yangu alishafariki nimemzika 28/05/2004. Nadhani atakua anafanana na Baba yako wewe
Basi wanafanana na baba zetu , sorry sana mkuu I didn't mean to hurt you bro, just politics, we have absolutely no boundaries.
 
Back
Top Bottom