Waziri Mkuu Atakayefanye Vurugu Atakiona Cha Mtema Kuni

The guilty are afraid
absolutely true

Hao maccm wanahangaika kweli kweli kutokana na uhalifu mkubwa walioufanya katika huu wanaouita Uchaguzi wa serikali za mitaa

Hata hivyo penye ukweli uwongo hujitenga
 
absolutely true

Hao maccm wanahangaika kweli kweli kutokana na uhalifu mkubwa walioufanya katika huu wanaouita Uchaguzi wa serikali za mitaa

Hata hivyo penye ukweli uwongo hujitenga
Hata wafanyaje hatushiriki uchaguzi wao haramu, wanywa damu huwa hawatosheki mpaka wanyonye damu za watu.
 
Siasa za Tz utadhani tamthilia ya ISIDINGO.Episodes kibao na wahusika kibao wanaotarajiwa na wasiotarajiwa.
 
Mkuu huwa hawasemi tu, ni kwa sababu wana habari za kuaminika kutoka kwa intelligence sio bure. Wewe lala salama wenye yao wanajifahamu. Tupo kwenye key boards hapa kwa sababu nchi ni salama.
Kaa kimya wewe mlamba korido za Lumumba
 
Waziri Mkuu amesema kuwa kampeni za uchaguzi zitaanza kuanzia tarehe17-23 November mwaka huu. Anasema atakayefanya fujo atakiona cha mtema kuni. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini mbona vyama vya upinzani vimeshajitoa na havitoshiriki. Jana ilikuwa vitisho vya igp Siro, Leo waziri mkuu, hivi wanataka nini hawa.
Kuharibu nguvu kazi na rasilimali za taifa kwa mambo yasiyo msingi.
Aaagh waacheni wajitekenye...
 
Waziri Mkuu amesema kuwa kampeni za uchaguzi zitaanza kuanzia tarehe17-23 November mwaka huu. Anasema atakayefanya fujo atakiona cha mtema kuni. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini mbona vyama vya upinzani vimeshajitoa na havitoshiriki. Jana ilikuwa vitisho vya igp Siro, Leo waziri mkuu, hivi wanataka nini hawa.

Kimsingi viongozi wetu hawako committed na ujenzi wa demokrasia katika nchi hii kwahiyo wako tayari kufanya lolote lile kuakikisha wanabaki madarakani na kuminya wale wenye mawazo mdadala mimi nafikili kwa hulka yetu sisi waafrika mfumo huu hautufai tumeingia kwa presha tu ya wakubwa mfumo wa vyama vingi unaitaji jamii iliyojengeka katika misingi fulani ambayo sisi waafrika kwa nature ya roho zetu hatuwezi kuendana nao
 
Ni kweli roho za uhalifu huwa zinatapatapa saana.

Yaani sijawahi kuona kabisa kwamba eti hiki kitu kinaitwa uchaguzi...kweli CCM iliondoka na muasisi wake...kwa sasa watoto wanagawana mbao na misumari chama nyaka ni nyaka.
 
Hivi ni nani hasa mwenye akili atakayefanya vurugu kwenye huu uchaguzi batili wakati watu wamejitoa kwenye uchaguzi baada ya kufanyiwa hila lukuki na ccm wamebaki wenyewe.. si wasubiri muda ufike wajichague tu au wajipitishe na mchezo uishe...
 
Back
Top Bottom