Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

..mtoa uzi bwana!! ..duh!amekurupuka bafuni mimapovu imemjaa masikioni anatutaka na sisi tukurupuke!!..tupinge nini sasa hapo?..mpaka sekondari zifunguliwe tutakoma hakika.
 
..mtoa uzi bwana!! ..duh!amekurupuka bafuni mimapovu imemjaa masikioni anatutaka na sisi tukurupuke!!..tupinge nini sasa hapo?..mpaka sekondari zifunguliwe tutakoma hakika.
vumilia tu tafadhali January tunarudi shule
 
Ebu nikumbushe hivi ofisi nzima ya waziri mkuu iko Dodoma au ni yeye na mkewe na walinzi? na yule waziri Kilimo aliyesema wataamia Dodoma wizara yake imeshaamia?? au ni maigizo tu!!
 
Hiyo sio habari hata kidogo mkuu wangu,
 
Tulia kabla hujaandika.
 
Mshana umekuwa mtu wa kukosoa tu hata yasio na maana sasa shida iko wapi Waziri mkuu kutembea na Kusalimiana na Jamii inayomzunguka, Yule ni Icon na public figure ana waandishi wa habari wanaomfata popote alipo sioni haja ya kutoka povu hivo mkuu
 
HUJAELEWA MSHANA ANAZUNGUMZIA ISHU YA NAMNA HII HABARI ILIVOWEKWA.. ISHU NDOGO IMEKUZWA
 
Mkuu wanahabari wetu bado tu hujawasoma? wanamahaba kwenye mambo naweza sema ya kipumbavu sana, hukuwaona siku waliopewa Ofa ya kumuuliza maswali mheshimiwa sana pale jumba jeupe magogoni? Kwa ujumla wengi wao ni hovyo kabisa usjipe home work kuwatafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…