Waziri Mkuu aagiza daktari akamatwe baada ya wananchi kusimamisha msafara wake na kulalamika

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,429
32,173
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]

Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
d61ccab0ac5475cad5ef96860b267222.jpg
 
hawa nao wamezd akamatwe tuu
 
Kwanza akamatwe dereva wa lori .
 
wananchi wanajuaga serikali yao ina mapesa mengi na huwa inamwaga tu madawa hospitalini. mbaya zaidi Kasimu anajua serikali huwa haipeleki pesa ya kutosha kwaajili ya dawa lakini ili afurahishe wananchi kaamua kumtia ndani jamaa.
Ni aina mbovu kabisa ya uongozi. Ushahidi wa kuiba dawa anao au hao wananchi wanao?

Au wakiliona lile lory la MSD limekwemda kituono wanajua leshusha midawa lukuki? Hii ni uonevu....
 
Nimewahi kuona msafara wa waziri mkuu. Najiuliza kwa kasi yote ile ikitanguliwa na FFU, RPC,OCD wanazuiaje msafara?
Ni umbumbumbu wa waandishi wetu mkuu,wa kutokujua protokali za hawa viongozi wa juu.Kila kitu atachofanya Rais/waziri mkuu huwa kipo kwenye Ratiba ya ziara.Yaani watu mtoke tu huko mkusanyike kuzuia msafara?Je kama kati yenu kuna wauaji?
 
Tanzania inanishangaza
 
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim ameagiza Daktari wa Kituo cha Afya Mahuta Mtwara akamatwe, ni baada ya Wananchi kudai anahusika na wizi wa dawa kunakosababisha Wagonjwa kukosa dawa

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo baada ya Wananchi kusimamisha msafara wake [HASHTAG]#MillardAyoUPDATES[/HASHTAG]

Je alichofanya waziri mkuu ni sahihi? Je kama wananachi hawakuwa sahihi si atakuwa kamfedhehesha huyo daktari?
d61ccab0ac5475cad5ef96860b267222.jpg
Wizi wa dawa na waganga wa Zahanati mkuu ni janga la taifa,kama lilivyo tatizo la matumizi mabaya ya fedha za Halimashauri na Wakurugenzi wa Wilaya.Naamini wananchi hawakukurupuka.Akamatwe tu.
 
Ni upuuzi tu huo. hao wananchi wamejuaje huyo daktari anaiba dawa? Kwanza serikali inaweza kweli kuwathibitishia hao wananchi kuwa kwa dawa walizopeleka kituoni hapo hapatakiwi kuwepo upungufu wa dawa kabisa?
 
Najiuliza kama siku hizi wapelelezi, takukuru nk wanasubiri maelekezo ya kufanyia kazi pale anapokatiza mwanasiasa kwenye maeneo yao au wanakuwa na programs zao za kila siku!

Kwa hiyo daktari akishakamatwa ndio unafanyika upelelezi na kupelekwa Mahakamani au inaishiaje hasa?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom