kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Na kwa uwezo wako wa kufikiri,unaamini kila mfanyakazi wa serikali anahusika na wizi wa fedha ambazo CAG anaripoti!We are going too far na naomba tusifike huko,ila mwenye nia ya kweli ya maendeleo ya nchi hii anajua kwamba this is true.Niseme tu kwamba nimekuwa kwa muda mrefu kwenye system ya utendaji serikalini,kwa hiyo ninajua ninacho ongelea.Hata CAG amewahi kuzungumzia swala hili,kwa hiyo sio siri.
Na kwa mantiki hiyo hapo juu,waziri mkuu anastahili kuagiza daktari wa kituo akamatwe kwa sababu kama hakuiba dawa,basi ameiba fedha za kununulia dawa?
Sitakulaumu kwa upeo huo,maana Mungu amejalia watu upeo tofauti na ndio maana hata mtu akikosa kitanda hospitali,anaamini nesi au daktari amekiiba.
Watanzania tunahitaji elimu maana si kwa hisia hasi kama hizi!