- Obasanjo kuwafukuza kazi mawaziri wake haina maana yoyote kwetu Tanzania, kwanza yeye mwenyewe Obasanjo ni corrupt, the ishu hapa ni je Masha alikutana na Sagem Geneva au hapana? Na je Sagem ni kampuni yenye rushwa au hapana? Na je waziri wetu alijua mapema au hakujua?
- Swali ni je waziri alikutana na sagem huko Geneva au hapana? Wewe umeleta ushahidi wa google na ukadai kwamba kwa sababu uko hiyo wewe uko sayayri nyingine sasa ninakuuliza hivi serikali yetu itumie huu ushahidi wa google kumfukuza kazi waziri? Huu ushahidi wako wa google hata huko Nigeria umeshindwa kuwa-convict watuhumiwa sasa tutaufanyia nini?
- Ya power-breakfast ndio hayo, limeshindwa bunge letu la taifa sasa nani mwingine tena ataweza? Ninaomba kurudia tena kwamba kenye hili la vitambulisho waziri amelipangua tayari, akishakataa Spika tu ujue basi. Kosa lililofanyika ni papara za kutaka kumpata waziri na makosa, I hope litakuwa fundisho in the future kwamba ishu zingine zinahitaji kuachiwa mpaka zifike mwisho kwanza ndio uwapate wanaoshuka kwenye hili kuna mtu aliyekosea na kuwafanya wahusika washituke mapema, halafu ni lazima tuwe makini na hizi barua za ku-leak, maana in this case zilizkuwa zinalikishwa na wale wale wahusika tena kwa makusudi, matokeo ndio haya hakuna kinachoeleweka, yaani form a suspect to a victim, sasa hiii safisha safisha jina sio yeye anayeifanya ila kuna kikundi behind kinachomuongoza, yaani Kingunge, Almeir na Makamba na the boss ni the man Lowassa, akisaidiana na Nchimbi.
Tanzania tumefikaje huku maana hapa mbele ni giza tupu, hatuwezi kuwashupalia watangazaji wa Clouds hivi tulitegemea wafanye nini maskini wa Mungu wanaojaribu tu kutafuta riziki zao ambacho bunge limeshindwa kukifanya?
Unauhakika na Tido kumbana kweli?????
Hapa mnazungushana maneno tu... Masha kafunga kamba kushoto na kulia na mwenyewe anabembea katikati.. Hajajibu maswali ya msingi kuhusu hili la SAGEM na badala yake ameendelea kuzungusha maneno!
Umesomeka vizuri sana. But natoa angalizo: safari ya Masha ilianzia wapi? na kwanini alianzia huko? Majina uliyoyataja Mkuu yana maana kubwa kuliko wengi wanavyoyasoma katika maandishi, na kijana anapita juu ya "zulia jekundu" lililoandaliwa na usingetegemea lolote pale Clouds. Lakini kuna jambo moja tu, katika Presss Conf alisema hawafahamu kabisa SAGEM na hajawahi kukutana nao, leo anasema alikutana nao lakini si katika hoteli iliyoandikwa katika magazeti.
Angalizo lingine ni tuzitizame hizi kampuni kwa jicho makini zaidi:
Unisys ya Afrika Kusini, Giesecke & Devrient Fze ya Dubai, Iris Corporation Berhad ya Malaysia, Madras Security Printers ya India, Maruben Corporation ikishirikiana na Zetes na Nec ya Japan, Tata Consultancy Services ikishirikiana na Ontrack Innovations Ltd ya India.
Long way to go bro! Mkuu FMES wakati wa kudai uhuru ulikuwa unataka ushahidi?
Kuna haja ya kupinga ufisadi hata kwa harufu tu. Ushahidi, utawala bora na haki za binaadamu umekuwa wimbo wa wanaCCM.
Yaani kweli atazungumzia 5 % mbele ya dereva wake kweli? Atakuwa mpuuzi kiasi hicho? I find it hard to believe!
Nilijua mzee wa dataz AKA AKA atafika huko nilijua tu.....jamaa dizaini kapararaizi akili huwa akishindwa hoja utasikia ..nakujua wewe si nani sijui vile sijui yale.....kakaniboa kazee hako.....Stop calling pipo names hunijui mazee kama nisivyokujua wewe....ingawa wewe hujifanya wajua kila mtu hahahaha misfire hiyo, hili la usalama limetoka wapi tena ? leta hoja usikimbilie kwenye vioja na vionjo.
Peace
Masanilo
Halisi... mimi nadhani itabidi nitoboe tu ukweli naona wenzetu huko mnawaumia umia meno, hawa jamaa wanachezea Watanzania kama wanasesere! Hivi watu hawajajiuliza Waziri anasema alikuwa anatoka Dubai akapitia Uswisi halafu kwenye tenda tunakutana na kampuni ya Dubai na nyingine inayolalamikiwa inatoka Uswisi?
Nitaamua kusema kama huyu bwana hajiuzulu maana hata kujaribu kufumba macho kumpa nafasi inakera. Just wait...
Nilijua mzee wa dataz AKA AKA atafika huko nilijua tu.....jamaa dizaini kapararaizi akili huwa akishindwa hoja utasikia ..nakujua wewe si nani sijui vile sijui yale.....kakaniboa kazee hako.....
Shem kata ishu asikutishe huyo......hatuangalii ushikaji hapa....kijamaa kinaboaaa praak
Heheheheee...bongo bana. Yaani miskendo kiiiiiibao hadi mingine inasahaulika...Kwa mfano, vipi kuhusu Chenge na vijisenti vyake? Mahalu na kesi yake vipi?
afu sasa wakubwa wa JF nao wamefyata mkia......walijaribu kumpa kubwa...akaja na ..oooh tumetoka mbali.....wenyewe wakanywea.....Hahahah kuna kazi kweli wabongo....unajua inapendeza kama mtu anajibu hoja, sasa wengine si great thinkers!!!....ukimbana anakimbilia wewe mimi nakujua unakaa New Jersey sijui nini.......na dalili za mheshimiwa huwa hajibu swali.....anajiuliza na kujijibu....hebu angalia nilivyomjibu na alivyo respond uwiiiiiiiiiiiiii ningekuwa na uwezo nafanya kama Mh Albert Mnali (bakora)!!!
Masanilo
Hivi humjui FMES kuwa ni kada mzuri wa chama cha mafisadi? Hata km issue ipo kwa maslahi ya wananchi but yeye huwa anatetea tu ili mradi aonekane ni mtetezi wa chama chao.
Kiongozi gani anayejibugi maswali moja kwa moja bila kuzungusha (spin) especially kama anaulizwa kuhusu kitu chenye utata?
Quote: Masanilo
Nigeria ministers on bribe charge
Identity cards were finally introduced earlier this year
Three former ministers and two officials have been charged with corruption in connection with a $214m contract to produce identity cards.
The BBC's Mannir Dan-Ali in the capital, Abuja, says this case is being seen as a test of the government's pledge to stamp out corruption.
Nigeria is regularly named as one of the world most corrupt countries.
In a packed courtroom, the men pleaded not guilty to charges that they sought bribes from the French firm, Sagem.
Former Internal Affairs Ministers Sunday Afolabi and Mahammed Shatta and former Labour Minister Hussain Akwanga denied 16 charges that they had sought bribes worth some $2m, along with two senior officials.
Mr Akwanga was sacked earlier this month.
Reuters news agency reports that the local representative of Sagem failed to appear in court.
The Sagem charges are the highest-profile case yet brought by the Independent Corrupt Practices Commission (ICPC), set up by President Olusegun Obasanjo three years ago.
It has yet to secure the conviction of a senior official.
Hahahah kuna kazi kweli wabongo....unajua inapendeza kama mtu anajibu hoja, sasa wengine si great thinkers!!!....ukimbana anakimbilia wewe mimi nakujua unakaa New Jersey sijui nini.......na dalili za mheshimiwa huwa hajibu swali.....anajiuliza na kujijibu....hebu angalia nilivyomjibu na alivyo respond uwiiiiiiiiiiiiii ningekuwa na uwezo nafanya kama Mh Albert Mnali (bakora)!!!
- jana nilikuambia mapema sana kwamba Clouds hawawezi kumbana waziri, sasa yametokea hutaki kukubali unataka kuibadili topic iwe FMES, si unaona sasa uantaka ni lazima nifikiri kama unavyotaka wewe, pole sana mkuu na wewe na wenzako maana kwa mawazo kama haya yenu hawa viongozi wataendelea kutuchezea tu, Kwanza I was shocked hata kusikia Masha anaenda Clouds kwa sababu kwa kawaida Joe hua hapendi mambo ya siasa kabisaa, nikajua kuna mtu amemuwekea kisu usoni, lakini sikuwa na tatizo kujua matokeo yatakuwa nini.
Respect!
By the way, kaka umelipia kadi yako ya CCM hivi karibuni? Maana kuna kazoezi kanaendelea..
Omarilyas