Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Hili suala nilitegeme sana kutokea,toka kipindi kile linaanza liligubikwa na uwalakini.Hili dili haliweza kupita bila ya kuwa na Rushwa.Huko Nigeria Waziri na Katibu Mkuu wa wizara husika waliweka ndani kwa kupokea rushwa ya dola million 50 ili kuwapa kazi SAGEM.
Tatizo siyo Masha ila ni watu ambao wana Fuatilia hiyo dili.kuna wakati hapa Africa kusini nilishawahi kumuona waziri mmoja naye akifuatilia hiyo dili.
ila so far kuna mawaziri watatu wanafukuzia hiyo dili na sijui nani ataipata...watakaangana wao kwa wao!
Hata juzi kuamishwa kwa Katibu wa Wizara ya mambo ya ndani ni kutokana na hii ishu.Kuna kipindi flani Mhe. Rais ilibidi atengue uteuzi wa Afisa mtendaji wa hii kampuni baada ya kugunduliaka ulikuwa umeandaliwa mpango wa kifisadi.
Muunwgana alionya sana kuhusu hili dili na akamwambia Masha asimamie vyema na Rushwa isijitokeze.SAGEM ni kampuni kubwa na imefanya kazi kubwa sehemu mbali mbali ila Rushwa na haya makampuni makubwa haieoukiki.
Nimeshakuwa Engineer kwa makampuni makubwa kama na ni sera zao.
Inaonekana Serikalini ni rushwa na ufisadi mtupu-WIZI MTUPU! Kama Muungwana limwambia Masha asimamie vema na rushwa isijitokeze na wakati kuna dalili zote za rushwa tena ikipaliliwa na Waziri huyohuyo basi ni wazi JK hana Waziri katika Wizara hiyo,vinginevyo basi tuseme kuna mkono wa JK.