Anzisha wewe sio kila kitu serikaliNajua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
Upuuzi huuNajua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
JF si ndiyo mbadala na kwa huko TZ mmeifungia, au unamaanisha CCM ndiyo iwe na overall control?Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
Kama vyombo vyote vya habari vya serekali na vya machawa wenu havina mvuto, ndio huo utopolo wenu watu watautumia? Hiki sio kizazi cha kuchaguliwa mke dogo.Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
Unajionaga humu great thinker kumbe bonge la reject na kilaza.Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
Na kwa sambwanda hili sipati piichayaan mtutengenezee utopolo wenu halafu mtupekue mtuue!! mmeshachelewa dunia hairudu nyuma! labda Makonda ndio arudi nyumenyume akutane na mwiko