Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,609
- 14,085
Waziri wa nishati bwana January Makamba akiwa mkoa wa Geita akihutubia umma mbele ya rais wa jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan na umma kwa ujumla.
Waziri anasema Geita ina jumla ya vijiji 486 ,vijiji vilivyo fikiwa na nishati ya umeme ni 556 na vilivyo baki ni 130.Hizi hesabu sijui mh waziri kazitoa wapi hata mtoto mdogo wa darasa la Saba akisikia hesabu hizi ata shangaa.
Nafasi ya uwaziri ni kubwa Sana hasa katika taswira ya nchi mambo madogo madogo kama haya inashusha "credibility" ya mtu katika nafasi hiyo.
Kama taifa tujitafakari hakika maana tuendako ni kiza kinene.