Waziri Makamba, anza na Meneja wa TANESCO Kibamba

Waziri Makamba, anza na Meneja wa TANESCO Kibamba

Huyu Meneja wa Tanesco Kibamba kuendelea kuwa ofisini ni kulea uozo! Mitaa ya Mji Mpya, Kibamba Hosp, Kwembe Maduka matatu. Tatizo la low voltage mmeamua kuweka pamba masikioni kabisa. Mali za wateja zinaungua wala hamjali. Namba ya Emergency ipo kama ushahidi tu. Mnawaungia watu 3phase mwisho wa siku ni phase moja tu wanapata, huu ni Wizi. Tumeleta Malalamiko mnajifanya mmeshayazoea. Hakuna sehemu yenye huduma mbovu ya Tanesco nchi hii kama Kibamba,
Tunashukuru kwa taarifa

Tumefatilia eneo husika kuna mradi unaendelea wa kuboresha hali ya umeme ( Voltage improvement) ambao una gharama ya kiasi cha Shilingi miliona 50 mradi huu ukikamilika eneo husika hali ya umeme itaimarika.Tunawaomba uvumilivu wenu wapendwa wateja wetu
 
Back
Top Bottom