Waziri Makamba, anza na Meneja wa TANESCO Kibamba

Waziri Makamba, anza na Meneja wa TANESCO Kibamba

Kunipa taarifa kwamba siku fulani unanikatia umeme sababu unakata miti au?!
Sijui umeelewa context ya post yangu?!

By the way,sioni umuhimu wa kutoa namba sababu suala hili sio personal,ni la kijamii,ni Kimara yote,Mbezi,Kibamba,ndio maana tunakutajia location,na fact kwamba umekuja hapa na kututajia tatizo la msingi la eneo letu(nordic feeder,na nakubaliana nawe maana najua hilo tatizo) inaonyesha unalifahamu vizuri eneo na tatizo lake,sasa namba za simu za nini?utatuma message kwa watu wangapi?hizo group za whatsapp mtatuunga raia wote wa Kimara,Kibamba?kwanini msiendelee na ule utaratibu wa miaka yote,wa kutumia media,na siku hizi ni rahisi tu sababu ya teknolojia.
Mnaweza hata kuanzisha Tanesco app mtu ukidownload humo unapata taarifa zote,kila eneo,itatusaidia sisi,nyinyi na serikali.
Moja kati ya vitu napenda kuhusu hii mitandao ya kijamii ni transparency,haina unafiki.Mimi nawajibika kusema kitu sahihi,na wewe pia.Hamna longolongo humu,maana kila mdau anaona na kupitia.
Na tunashukuru kwenu kuwemo humu pia.Sasa mtusaidie umeme huu siku hizi kuukata ni tatizo msikate umeme,boresheni miundombinu.

Tena tunavyoandika humu tunawasaidieni maana naamini sio kila jambo limo ndani ya uwezo wenu Tanesco.Mengine najua yamewazidi uwezo,so wananchi tukiandika kama hivi tunawasaidieni sana tu,sijui unananielew ndugu?!

Naamini kabisa suala la kununua feeder mpya au mtambo wowote within your distribution network sio jepesi kwa wewe na meneja wako kulifanyia uamuzi kirahisi tu,hiyo hela huna na uwezo wa kufanya maamuzi hayo uko kwa wenyewe uko juu ambao huenda hawawapeni nyinyi watendaji response ya kutosha kulinganana presha mnayoipata toka kwa raia huku chini na matokeo yake nyie mnakaangwa hapa kati mkiwa innocent kabisa.Kuna kipindi unapiga simu customer care na kuongea kwa ukali ukilaumu watu lakini jinsi wanavyojibu hadi unawaonea huruma,unajistukia kabisa unamlaumu mtu asiye na hatia.Usifikiri wananchi hatujui situation,tunafahamu vizuri tu.Hapa taarifa zishawafikia wenye hela na wafanya maamuzi.Tunakusaidia bwana Tanesco maana tumechoka,tatizo limedumu muda mrefu now.

Let it be known to the hierachy.
Ussr atakupatia ushuhuda wa ushirikiano aliotupatia
 
Ussr atakupatia ushuhuda wa ushirikiano aliotupatia
Mie sina shida na nyie.Najua tatizo liko wapi ila inabidi tupite kwenu kwanza.
Nakusaidia sana Tanesco we hujui tu.
Siku sio nyingi watakuja kukuuliza kuna tatizo gani Kimara,wale wale ambao you struggle to reach them under normal circumstances.
By the way,nashukuru alhamisi ya leo hujanikatia umeme,maana alhamisi zilizopita zote ilikuwa tabu,kazi njema.
 
Kinachoendelea

Kwa wakazi wa Kibamba, Kimara na Mbezi luis tunajenga kituo kikubwa cha kupoza umeme maeneo ya Luguruni ambacho kitasaidia kuimarisha ubora na upatikanaji wa umeme maeneo hayo na ya jirani hivyo sio kwamba hakuna jitihada zinazofanyika
 
Gongolamboto kuna maombi yanazai ya miezi 5 hata savei hawaendi kukagua hayo maombi,madai yao hawana gari
 
Tangu ukaripie katika katika ya umeme kidogo walikusikia ila sasa wameanza upya kukata, hawatoi notice ina maana hawajiandai jamii kuwa lini na wapi umeme unakatika.

Maeneo mengi yanayopokea umeme kwa huduma za Kibamba hakuna kabisa na mchezo huu ulianza tangu JPM alipofariki.

Sisi wakazi wa Mbezi Lois, Kibamba, Makabe, Maramba Mawili, Msingwa, Temboni, n.k umeme unasumbua eneo la Mbezi tangu mchana hakuna umeme

Ukifika ofisi ya kibamba ondoka na meneja kabisa

USSR
Wanamkomoa mnyika
 
Acheni kukata umeme ovyo ovyo
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Hela yangu ndo inafanya nipate huduma[emoji52]
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Huyu Meneja wa Tanesco Kibamba kuendelea kuwa ofisini ni kulea uozo! Mitaa ya Mji Mpya, Kibamba Hosp, Kwembe Maduka matatu. Tatizo la low voltage mmeamua kuweka pamba masikioni kabisa. Mali za wateja zinaungua wala hamjali. Namba ya Emergency ipo kama ushahidi tu. Mnawaungia watu 3phase mwisho wa siku ni phase moja tu wanapata, huu ni Wizi. Tumeleta Malalamiko mnajifanya mmeshayazoea. Hakuna sehemu yenye huduma mbovu ya Tanesco nchi hii kama Kibamba,
 
Tunashukuru kwa taarifa tafadhalo onesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi,
 
Namba za simu ziko ofisi ya Tanesco Kibamba na Malalamiko haya ni ya kila siku!
Wewe no boss wetu, mkuu wetu tafadhali tunaomba ututumie hata DM tutaifatilia na kukuhudumia
 
Back
Top Bottom