Waziri Magufuli apata PhD

Wakati Bado Hajaitwa Mzilankende,Jiwe, Chuma, Ngosha


Anavaa Suit Zinazofunika Mikono Vidole Havionekani
 
Huu ubumvuzi wake hauwezi kutumika kuuza ili dunia uendeleza na matokeo yaonekane?
 
Ph D ya Magufuli ni ya ukweli wala sipotezi muda wangu kumaliza buttons kuijadili....Dr.John Pombe Magufuli ....
Ila mkuu ulikuja kutrend sana aisee, japo ulimsakama kama nini. Sijui mlipishana wapi.

Mwisho wa siku haya maisha tu, daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…