Wapumbavu kabisa.
Wakati watu wanajenga kwenye hayo maeneo serikali ilikuwa wapi?
Wapumbavu kabisa.
Wakati watu wanajenga kwenye hayo maeneo serikali ilikuwa wapi?
Unachomwa kisu unalia,aliyekuchoma anakichomoa halafu unamsifu ana huruma na busara amechomoa,kweli kuiondoa ccm ni kazi
Watu wengine ni wabishi kweli. Unamwambia asijenge hapo ni sehemu ya barabara yeye anajenga tu na kuifanya sehemu iliyopimwa isipitike tena anahonga. Kuna mzee mmoja aliniambia kwamba kama kuna sheria na wewe unatumia pesa zako kuipindisha hiyo sheria basi kuna siku utalia. Kama una hekima ni bora ukahonga ili sheria ibadilishwe na wala siyo kuipindisha.Ningekuelewa kama ungesema serikali ni wapumbavu kwa sababu wakati wanajenga hakukuwepo na sheria inayowazuia kujenga katika maeneo hayo.
Wamejenga nyumba katika maeneno ambayo sheria haiwaruhusu na kwa maana hiyo, hakuna time limit ya vyombo vya kusimamia sheria kufanya kazi yake.
Kutokumatwa hakuwezi kufuta kosa ulilolifanya.
Walikuwa wamelala, na walikuwa wakichanganya shughuli za kiserikali na siasa! Tatizo la ujenzi holela lina historia ndefu sana hapa Duniani na hatima yake ilikuwa kule Rio de Janerio mwaka 1992. Aidha pamoja na Tanzania kushiriki mkutano huo, bado halmashauri nyingi za miji na majiji wameshindwa kabisa kufuata yale yaliyopendekezwa...Wapumbavu kabisa.
Wakati watu wanajenga kwenye hayo maeneo serikali ilikuwa wapi?
Wapumbavu kabisa.
Wakati watu wanajenga kwenye hayo maeneo serikali ilikuwa wapi?
Unachomwa kisu unalia,aliyekuchoma anakichomoa halafu unamsifu ana huruma na busara amechomoa,kweli kuiondoa ccm ni kazi
hivi 75% ya wananchi waliojenga viwanja ambavyo havijapimwa nayo ni ujenzi holela?
c'mon, where was the government kupima,kutoa hati,kutekeleza sera ya makazi bora
kuna kata,tarafa hazijapimwa hata mita 1
Sehemu zilizobomolewa eti zitajengwa gardeni
Ila utu na busara inahitajika. Asilimia 80 bongo wamejenga kiholela name miaka yote hiyo serekali ya chama cha makenge ilikuwa wapi? Kuweni na huruma na wananch wenzenubana hata kama IQ zao ni ndogo wanahitaj msaada. Nchi yote hii kama kujengwa upya inabidi gharika kama ya nuhu ije
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, Mhe. William Lukuvi amesitisha zoezi la bomoabomoa kwa muda wa siku14 katika maeneo ya mabondeni na yaliyovamiwa na kujengwa kinyume cha sheria ili kutoa nafasi kwa watu waliojenga katika maeneo hayo kuondoa wenyewe mali zao.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi imebainisha kuwa zoezi la bomoa bomoa limesimamishwa kwa muda kuanzia tarehe 22/12/2015 hadi 05/01/2016.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa eneo la mto msimbazi ni eneo hatarishi na ujenzi katika eneo hilo ni kinyume na sheria ya mipango miji na 8 ya mwaka 2007 na sheria ya mazingita na.4 ya mwaka 2004.
Maeneo mengine ambayo serikali imepiga marufuku ni maeneo ya wazi, kingo za mito, fukwe za bahari, maeneo ya hifadhi za barabara na maeneo hatarishi.
Aidha, katika Jiji la Dar es Salaam maeneo ya wazi takribani 180 yamevamiwa ambayo ni kama ifuatavyo; Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni maeneo 111, Halmashauri ya Ilala maeneo 50 na Halmashauri ya Temeke maeneo 19.
It is too late, damage has been done,
Serikali imefanya vizuri kusikiliza kilio cha wananchi ili kuwapa grace period ya kuondoka kwa amani.
Kama serikali iliweza kuwapa grace period wezi wa kodi ya nchi katika bandari, kwa nini isifanye kwa wajenzi holela.
Huu ni uamuzi wa busara na hekima.