Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,869
Hii kutaka sifa itawacost serikali.lazima maeneo ya beach baadhi yakodishiwe wawekezaji ili kuprommote biashara sasa ukisema beach zote free waziri atambuwe tunatofautiana kuna watu wenye hela zao wanahitaji kupumzika private ukimchanganya na muuza madafu biashara zinafeli. Waliangalie upya hili.