Waziri Lukuvi asimamisha ujenzi Coco Beach, avunja uzio. Sasa kutembelea fukwe ni bure

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,723
2,000
Nachukua nafasi hii Kumpongeza kwa Dhati Waziri wa Ardhi na Nyumba Mh.LUKUVI kwa Jinsi anavyowajibika.Mh.Waziri Suala la COCO BEACH Wahusika Wakuu ni WATALAAMU wako Kwani ndio wenye Jukumu la Kuilinda MICHORO ya MIPANGO MIJI na ya UPIMAJI.

Kama UJENZI una KIBALI ni Dhahiri WATENDAJI wako Wamehusika Kukitoa hicho KIBALI huku Wakijua Wanavunja SHERIA.Ni Imani yetu WATENDAJI hao wanastahiri Kuchukuliwa HATUA za Kisheria ili Iwe FUNZO kwa WATENDAJI
Wengine.

Wanakiukwa kwa Makusudi SHERIA kwa MANUFAA yao kwa Kupokea RUSHWA.
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,101
2,000
Fukwe free hazina hata sehemu nzuri ya kupumzika hawa jamaa hawako mordern kabisa wanaishi maisha kiprimitive sana.Coco ya sasa haivutii kabisa.
uchumi wa Tunisia unaendeshwa na uwekezaji kwenye fukwe, sisi fukwe ndio sehemu za kuvutia bhangi mateja, nadhani kuna sehemu hatuko sawa kichwani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom