Waziri Lukuvi asimamisha ujenzi Coco Beach, avunja uzio. Sasa kutembelea fukwe ni bure

Ikijengwa vizuri siyo lazima ulipie kwenda.
Nyie watu mnasafiri nchi za watu kwenda kujifunza nini?
Hamuoni parks huko ambazo zimejengwa vizuri laki ni bure?
Au mnadhani sifa kukamua wananchi kwa kila kitu?
Coco miaka ya 80,90 kulikuwa na mabafu free unaogaaa
Sijawahi ona eti beach inapigwa uzioooo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1703713

Waziri ardhi, William Lukuvi leo tarehe 16/ 02/2021 amefika fukwe za Coco Beach akakuta kuna ujenzi unaendelea.

Akaagiza kusimamishwa kwa ujenzi na kubomolewa kwa uzio huo kwa kua fukwe za Coco beach ni bure.

Waziri wa ardhi, William Lukuvi amefika kwenye fukwe za Coco Beach na kukuta ujenzi wa kiwanja ukiwa unaendelea kinyume na sheria, "niulize nani kawambia mjenge viwanja vya watu watano watano hapa au ni wazo lenu?

Kwa sababu kama ni interest ya michezo nyinyi mna viwanja vingi, Kinondoni kuna viwanja vingi kila shule ya sekondari ina kiwanja cha michezo sasa kwa nini hapa"?

Waziri Lukuvi aliamua kusitisha na kutoa agizo la kuvunja leo ujenzi huo unaondelea.

Pia Waziri Lukuvi amewapa onyo Meya na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni kutokua na tamaa ya maeneo ya wazi ambayo ni mali ya Umma.

=========

Rais amesema fukwe zitumike kwa wananchi wote huru.

Hakukuwa na sababu yoyote, Mkurugenzi. Hamna kiu ya viwanja vya michezo Dar es Salaam. Kama mnataka ku-develop viwanja vya michezo si lazima muingie kwenye open space hii ya thamani. Hawa wote wanaokaa hapa wana ma-gym, wana hela ya kwenda gym.

Hivi mkilitunza hili eneo likakaa likatunzika, likaboreka tukapanga eneo hili lote pamoja tukimaliza infranstructure; mna hasara gani, mna haraka gani?

Huyu ni Breweries kweli aliyechagua kwamnba anataka hapa? Kwanini msimchagulie mahala pengine? Wha kila mara mupo hapa? Why Coco Beach? Likikaa hivi linawakera?

Hili wazo lazima lina mtu mmoja. Meya, hili eneo linawakera likiwa wazi? Viwanja vipo vinne hivi; vimewashinda. Kuanzia leo nitavichukua nitatoa hati itaandikwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, maana nyie mmeshindwa ku-manage. Mna tamaa.

Unajenga uwanja wa watu watano alafu unasema eti utawasaidia watu?

Open space zote Mkurugenzi nikukumbushe, zinatawaliwa na sheria. Nimeshauliza majirani wote, hawakushirikishwa. Matumizi yoyote ya open space yanapobadilishwa lazima yashirikishe wadau majirani. La pili, Afisa Mipango Miji umewadanganya; haiwezi kuwa temporary structure hii, ya manondo! Huwezi kutia ndondo hapa ukasema ni temporary structure. Hili ni jengo la kudumu.

Kwanza mmekiuka Sheria, hamkushirikisha wadau. Hatukukuta mabango yoyote hapa mulipoandika kuwa eneo hili tunataka tuliwekee matumizi haya ya kudumu. Lakini tunabadilisha matumizi, sasa tumeamua wananchi huku Coco Beach tunataka tuwajengee uwanja wa kucheza watu watano watano. Hamkufanya!

Lakini upo mwongozo. Ninyi Halmashauri za wilaya uwezo wenu ni wa kupanga tu open space lakini si kuzibadilisha matumizi hamuwezi mpaka mushirikishe Wizara.

Na ninarudia tena, kote! Makamishna wasaidizi mikoa yote ndiyo maana nimewaweka; hakuna halmashauri yoyote kubadilisha matumizi ya Open space. Mpaka ninyi ofisi zangu za mikoa zilizopo kule chini ya Makamishna Wasaidizi mjue.

Ninawataka Makamishna Wasaidizi wapekue hizi Open space. zinazotamaniwa tamaniwa namna hii. Lazima zirudi kama Open space.

Mkishapanga ninyi wapangaji kuwa hii ni open space, inatoka mikononi mwenu na kuwa mali ya wananchi. Kwahiyo munapotaka kubadilisha si kazi yenu, lazima wananchi waulizwe. Hamuwezi kukaa kule mmejifungia alafu mnapora ardhi yote ya watu wa Dar es Salaam alafu munatengeneza kitu cha watu watano.

Ni marufuku kwa watu wangu kuwashauri vibaya Wakurugenzi kubadilisha Masterplan. Masterplan hamna uwezo wa kubadilisha. Ninyi mna uwezo wa kuzipanga tu. Zibaki kama zilivyo!

Hapa mtaendelea kupatunza kama palivyo, mtapasafisha na wananchi wataendelea kushughulika kama palivyo. Na tulisema kama Serikali tutashirikiana na wadau wenye jiji hili la Dar es Salaam tupange pamoja matumizi bora zaidi endelevu ya eneo hili la Coco Beach.
Coco beach sijui ni wapi, kuna Oyster Bay.
 
Kwanini tusubiri mpaka waanze kujenga ndio tukabomoe? Kujenga ni process na hiyo “building permit” huwa inapitia kwa watu wengi. Kuna aliyeshughulikiwa mpaka sasa?

Hii tabia ya kufanya kazi kwa zimamoto haiwezi kutufikisha popote
 
Duu Dunia hadaa yaani yaani ubunifu wa mradi wa Bashite unavunjwa leo siku ya besiday yake badala ya kumwagia maji leo mnamwagia vumbi

Happy birthday
 
Umeandika vyema

Wanaamini mtu akishaitwa Mnyonge basi hana hadhi ya ku access vitu vizuri

Forodhan Znz imejengwa vizuri sana na inavutia na kupendeza na bado ni bure kabisa ku access,

Wanaojifanya kutetea Coco beach kubaki ilivyo ni wale ambao wakitaka kwenda beach wanaenda Jangwani Sea breeze, wanaenda South beach, Capetown fish Market, maeneo salama, nadhifu

Coco beach ya leo hata ukila chakula chenye sumu huwezi kujua unehudumiwa meza ipi, hata wauzaji anaweza kesho kuamua kutokuja tu akapotelea kusikojulikana

Coco inaweza kujengwa kwa hadhi ya Jiji na ikabaki bure, kwani Mlimani city kuna kiingilio, si hata sisi wanyonge tunaweza kwenda kushangaa shangaa na kuondoka zako
kama unatembelea m@tak0 mlimani city sio bure
 
View attachment 1703713

Waziri ardhi, William Lukuvi leo tarehe 16/ 02/2021 amefika fukwe za Coco Beach akakuta kuna ujenzi unaendelea.

Akaagiza kusimamishwa kwa ujenzi na kubomolewa kwa uzio huo kwa kua fukwe za Coco beach ni bure.

Waziri wa ardhi, William Lukuvi amefika kwenye fukwe za Coco Beach na kukuta ujenzi wa kiwanja ukiwa unaendelea kinyume na sheria, "niulize nani kawambia mjenge viwanja vya watu watano watano hapa au ni wazo lenu?

Kwa sababu kama ni interest ya michezo nyinyi mna viwanja vingi, Kinondoni kuna viwanja vingi kila shule ya sekondari ina kiwanja cha michezo sasa kwa nini hapa"?

Waziri Lukuvi aliamua kusitisha na kutoa agizo la kuvunja leo ujenzi huo unaondelea.

Pia Waziri Lukuvi amewapa onyo Meya na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni kutokua na tamaa ya maeneo ya wazi ambayo ni mali ya Umma.

=========

Rais amesema fukwe zitumike kwa wananchi wote huru.

Hakukuwa na sababu yoyote, Mkurugenzi. Hamna kiu ya viwanja vya michezo Dar es Salaam. Kama mnataka ku-develop viwanja vya michezo si lazima muingie kwenye open space hii ya thamani. Hawa wote wanaokaa hapa wana ma-gym, wana hela ya kwenda gym.

Hivi mkilitunza hili eneo likakaa likatunzika, likaboreka tukapanga eneo hili lote pamoja tukimaliza infranstructure; mna hasara gani, mna haraka gani?

Huyu ni Breweries kweli aliyechagua kwamnba anataka hapa? Kwanini msimchagulie mahala pengine? Wha kila mara mupo hapa? Why Coco Beach? Likikaa hivi linawakera?

Hili wazo lazima lina mtu mmoja. Meya, hili eneo linawakera likiwa wazi? Viwanja vipo vinne hivi; vimewashinda. Kuanzia leo nitavichukua nitatoa hati itaandikwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, maana nyie mmeshindwa ku-manage. Mna tamaa.

Unajenga uwanja wa watu watano alafu unasema eti utawasaidia watu?

Open space zote Mkurugenzi nikukumbushe, zinatawaliwa na sheria. Nimeshauliza majirani wote, hawakushirikishwa. Matumizi yoyote ya open space yanapobadilishwa lazima yashirikishe wadau majirani. La pili, Afisa Mipango Miji umewadanganya; haiwezi kuwa temporary structure hii, ya manondo! Huwezi kutia ndondo hapa ukasema ni temporary structure. Hili ni jengo la kudumu.

Kwanza mmekiuka Sheria, hamkushirikisha wadau. Hatukukuta mabango yoyote hapa mulipoandika kuwa eneo hili tunataka tuliwekee matumizi haya ya kudumu. Lakini tunabadilisha matumizi, sasa tumeamua wananchi huku Coco Beach tunataka tuwajengee uwanja wa kucheza watu watano watano. Hamkufanya!

Lakini upo mwongozo. Ninyi Halmashauri za wilaya uwezo wenu ni wa kupanga tu open space lakini si kuzibadilisha matumizi hamuwezi mpaka mushirikishe Wizara.

Na ninarudia tena, kote! Makamishna wasaidizi mikoa yote ndiyo maana nimewaweka; hakuna halmashauri yoyote kubadilisha matumizi ya Open space. Mpaka ninyi ofisi zangu za mikoa zilizopo kule chini ya Makamishna Wasaidizi mjue.

Ninawataka Makamishna Wasaidizi wapekue hizi Open space. zinazotamaniwa tamaniwa namna hii. Lazima zirudi kama Open space.

Mkishapanga ninyi wapangaji kuwa hii ni open space, inatoka mikononi mwenu na kuwa mali ya wananchi. Kwahiyo munapotaka kubadilisha si kazi yenu, lazima wananchi waulizwe. Hamuwezi kukaa kule mmejifungia alafu mnapora ardhi yote ya watu wa Dar es Salaam alafu munatengeneza kitu cha watu watano.

Ni marufuku kwa watu wangu kuwashauri vibaya Wakurugenzi kubadilisha Masterplan. Masterplan hamna uwezo wa kubadilisha. Ninyi mna uwezo wa kuzipanga tu. Zibaki kama zilivyo!

Hapa mtaendelea kupatunza kama palivyo, mtapasafisha na wananchi wataendelea kushughulika kama palivyo. Na tulisema kama Serikali tutashirikiana na wadau wenye jiji hili la Dar es Salaam tupange pamoja matumizi bora zaidi endelevu ya eneo hili la Coco Beach.
Pamoja na Kuvunja na kukemea Je Watendaji wako wa Ardhi umewachukulia HATUA gani au ndio KULINDANA licha ya Kufanya Makosa ya Makusudi?
 
Lukuvi namkubali sana. Japo ukiingia kwenye 18 zake anakuumiza lakini anajitahidi kuisimamia ardhi ya bongo vizuri.
Wala hajajipendelea kama wazee wa kujipendelea wafanyavyo.
Mbona unampa sifa asizostahili?

Asimamie kikamilifu kusimamisha ujenzi holela Tanzania nzima hpo ndio tutampigia saluti

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nimeona anachapa kazi, hawezi shinda changamoto zote.
Na sijamsikia maneno ya kejeli, jeuri, dharau ama vitisho.
Hivyo nampongeza, ameonyesha kuwa kuchpa kazi si lazima kuambatane na jeuri.
 
Watu wanahitaji kuboreshewa maisha!! Tuwape wataalamu waje na usanifu na matumizi bora ya eneo!! Tuangalie njia bora ya kuendeleza kwa manufaa ya sasa na kizazi kijacho!! Sasa kuzuia ndio maendeleo!?
 
View attachment 1703713

Waziri ardhi, William Lukuvi leo tarehe 16/ 02/2021 amefika fukwe za Coco Beach akakuta kuna ujenzi unaendelea.

Akaagiza kusimamishwa kwa ujenzi na kubomolewa kwa uzio huo kwa kua fukwe za Coco beach ni bure.

Waziri wa ardhi, William Lukuvi amefika kwenye fukwe za Coco Beach na kukuta ujenzi wa kiwanja ukiwa unaendelea kinyume na sheria, "niulize nani kawambia mjenge viwanja vya watu watano watano hapa au ni wazo lenu?

Kwa sababu kama ni interest ya michezo nyinyi mna viwanja vingi, Kinondoni kuna viwanja vingi kila shule ya sekondari ina kiwanja cha michezo sasa kwa nini hapa"?

Waziri Lukuvi aliamua kusitisha na kutoa agizo la kuvunja leo ujenzi huo unaondelea.

Pia Waziri Lukuvi amewapa onyo Meya na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni kutokua na tamaa ya maeneo ya wazi ambayo ni mali ya Umma.

=========

Rais amesema fukwe zitumike kwa wananchi wote huru.

Hakukuwa na sababu yoyote, Mkurugenzi. Hamna kiu ya viwanja vya michezo Dar es Salaam. Kama mnataka ku-develop viwanja vya michezo si lazima muingie kwenye open space hii ya thamani. Hawa wote wanaokaa hapa wana ma-gym, wana hela ya kwenda gym.

Hivi mkilitunza hili eneo likakaa likatunzika, likaboreka tukapanga eneo hili lote pamoja tukimaliza infranstructure; mna hasara gani, mna haraka gani?

Huyu ni Breweries kweli aliyechagua kwamnba anataka hapa? Kwanini msimchagulie mahala pengine? Wha kila mara mupo hapa? Why Coco Beach? Likikaa hivi linawakera?

Hili wazo lazima lina mtu mmoja. Meya, hili eneo linawakera likiwa wazi? Viwanja vipo vinne hivi; vimewashinda. Kuanzia leo nitavichukua nitatoa hati itaandikwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, maana nyie mmeshindwa ku-manage. Mna tamaa.

Unajenga uwanja wa watu watano alafu unasema eti utawasaidia watu?

Open space zote Mkurugenzi nikukumbushe, zinatawaliwa na sheria. Nimeshauliza majirani wote, hawakushirikishwa. Matumizi yoyote ya open space yanapobadilishwa lazima yashirikishe wadau majirani. La pili, Afisa Mipango Miji umewadanganya; haiwezi kuwa temporary structure hii, ya manondo! Huwezi kutia ndondo hapa ukasema ni temporary structure. Hili ni jengo la kudumu.

Kwanza mmekiuka Sheria, hamkushirikisha wadau. Hatukukuta mabango yoyote hapa mulipoandika kuwa eneo hili tunataka tuliwekee matumizi haya ya kudumu. Lakini tunabadilisha matumizi, sasa tumeamua wananchi huku Coco Beach tunataka tuwajengee uwanja wa kucheza watu watano watano. Hamkufanya!

Lakini upo mwongozo. Ninyi Halmashauri za wilaya uwezo wenu ni wa kupanga tu open space lakini si kuzibadilisha matumizi hamuwezi mpaka mushirikishe Wizara.

Na ninarudia tena, kote! Makamishna wasaidizi mikoa yote ndiyo maana nimewaweka; hakuna halmashauri yoyote kubadilisha matumizi ya Open space. Mpaka ninyi ofisi zangu za mikoa zilizopo kule chini ya Makamishna Wasaidizi mjue.

Ninawataka Makamishna Wasaidizi wapekue hizi Open space. zinazotamaniwa tamaniwa namna hii. Lazima zirudi kama Open space.

Mkishapanga ninyi wapangaji kuwa hii ni open space, inatoka mikononi mwenu na kuwa mali ya wananchi. Kwahiyo munapotaka kubadilisha si kazi yenu, lazima wananchi waulizwe. Hamuwezi kukaa kule mmejifungia alafu mnapora ardhi yote ya watu wa Dar es Salaam alafu munatengeneza kitu cha watu watano.

Ni marufuku kwa watu wangu kuwashauri vibaya Wakurugenzi kubadilisha Masterplan. Masterplan hamna uwezo wa kubadilisha. Ninyi mna uwezo wa kuzipanga tu. Zibaki kama zilivyo!

Hapa mtaendelea kupatunza kama palivyo, mtapasafisha na wananchi wataendelea kushughulika kama palivyo. Na tulisema kama Serikali tutashirikiana na wadau wenye jiji hili la Dar es Salaam tupange pamoja matumizi bora zaidi endelevu ya eneo hili la Coco Beach.
Harufu ya rushwa
 
Cha muhimu waziri anachoweza kukifanya kwa haraka ni kushirikiana na tarura na tanroads pamoja na wizara yake kutambua reserve's kwa ajili ya public spaces, hasa kwa DSM kabla ya kuzidi kuchelewa!! Urasimishaji ardhi uzingatie maeneo ya public na road reserves sasa watu wanajenga magorofa bila planing sisi tunaona ni sawa!?
 
Back
Top Bottom