Kairuki now you are talking.Nchi unaipeleka mbali tinaanza kufaidi raslimali zetu hongeraWaziri wa Madini Angellah Kairuki amesema kuwa Almasi kutoka Tanzania yenye karati 39,557.96 imeuzwa kwa dola za Kimarekani Milioni 10. 2 katika mnada uliofanyika huko Antwerp nchini Belgium tarehe 7 Novemba , 2017.
Maafisa wa Serikali walikuwepo mnadani kusimamia uuzwaji wa Almasi. Kufuatia mauzo hayo, Serikali imepata mapato ya shilingi bilioni 1.614
Reference unazo, Almasi imeuzwa zaidi ya hapo zamani, Mapato yameenda kujenga Aeportre De ChatoWatu walibeza sana
Fanya hesabu vizuri ndugu usiwe na papara ( pia tumia neno percent sio percentage)Yani dola million 10.2 unapata tax ya dola laki 4. Hii ni 0.5 percentage.
hela zote wamelipia tiketi na hoteli pamoja na zawadi za asanteAtuambie serikali imepata gawio tshs ngapi na ukiondoa gharama za hao watu walioenda kuangalia huo mnada tumebakiwa na ngapi.
7%Yani dola million 10.2 unapata tax ya dola laki 4. Hii ni 0.5 percentage.
HABARI,Yani dola million 10.2 unapata tax ya dola laki 4. Hii ni 0.5 percentage.
Kumbe tunaanza kutusua taratiibuHABARI,
"NDEO,
Hiyo pesa tuliolipwa ni ya mrabaha wa wali,Ada ya ukaguzi pamoja na mrabaha baada ya almasi kupigwa mnada ila ile 25% Iko pale plae hizo rekodi serikali inazo ikifika muda wa gawio la faida tunachukua asilimia yetu 25 ambayo zitakuwa ni nyingi pia ukumbuke Rais alishasema asilimia zetu zirudi pale pale 50% kama zamani hapo mapato yatakuwa makubwa zaidi
LUMUMBA