Waziri Kairuki: Almasi kutoka Tanzania imeuzwa USD Milioni 10. 2 huko Antwerp nchini Belgium

Sasa hivyo Ni vitu vya kutangaza au ndio kazi yao.System zetu mbovu wanajua Sasa wakifanikiwa kimoja wanapiga debe Mimi n just ndio kazi zao na ndio maana tumewaweka kwenye hizo nafasi.Kwani tunapoibiwa au tulipoibiwa viongozi so hao hao wao walijua wanavyopiga tu.Ni kama Mimi mama was nyumbani nimkamate house girl anaiba nimdhibiti alafu nijitangaze Sasa kazi yangu si ndio hiyo au
 
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyoanza kupatikana katika sekta ya madini.

Kairuki alisema serikali itapata mrabaha wa Dola za Marekani 124,176.97 (Sh. milioni 276.2), pamoja na ada ya ukaguzi Dola za Marekani 20,695.80 (Sh. milioni 46.036).

Alisema Agosti 31, mwaka huu, serikali ilizuia mzigo wa almasi za kampuni hiyo zilizokuwa zinasafirishwa kwenda Antwerp, Ubelgiji na kwamba mzigo huo bado unashikiliwa hadi sasa.

Hata hivyo, alisema serikali iliiruhusu kampuni hiyo kuendelea na uzalishaji wa almasi ambapo na kuzalisha karati 39,567.96.

“Waliomba waruhusiwe kuuza almasi hiyo, serikali ilikubali na wataalamu wa serikali walithaminisha almasi hizo na kupata thamani ya awali kuwa ni Sh. bilioni 18.2,” alisema.

Alisema mrabaha wa awali ulilipwa Sh. bilioni moja na ada ya ukaguzi ilikuwa Sh. milioni 182.2, hivyo serikali kupata jumla ya Sh. bilioni 1.288.

DSCN2069-1.jpg

Waziri Kairuki alisema Oktoba 20, mwaka huu, almasi hizo zilisafirishwa kwenda Ubelgiji na serikali ilituma maofisa wake kusimamia uuzwaji wa almasi hiyo ambayo huuzwa kwa njia ya mnada.

Alisema juzi almasi hizo ziliuzwa kwa dola za Marekani 10,261,227.76 (Sh. bilioni 22.8) ikiwa ongezeko la Dola za Marekani 2,069,582.77 (Sh. bilioni 4.6) sawa na asilimia 20.16 ya thamani ya uthaminishwaji wa awali.

Aliongeza kuwa katika mzigo huo wa almasi kulikuwa na almasi moja yenye rangi ya pinki yenye uzito wa karati 5.92 ambayo iliuzwa kwa Dola za Marekani 2,005,555 (Sh. bilioni 4.51).

Aidha, Kairuki alisema Oktoba 29, mwaka huu, katika eneo la Kiabakari, mkoani Mara, serikali ilikamata sampuli za miamba ya madini ya dhahabu kilo 600 zilizokuwa zikisafirishwa na kampuni ya ZEM (T) Ltd bila vibali kutoka serikalini.

Alisema sampuni hizo zilichukuliwa na kupelekwa kwenye maabara ya Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) na baada ya kufanyika uchunguzi ilithibitika kuwa kweli ni miamba ya dhahabu.

Waziri Kairuki alisema Serikali imeamua kuwapeleka mahakamani, ili sheria ichukue mkondo wake kwa kosa la kusafirisha na kukutwa na sampuli hizo bila kibali.
Credit: Mjengwa Blog
Kupata fedha ni jambo moja na kuzitumia ni jambo lingine. Mara utasikia pesa inakwenda kujenga uwanja wa ndege Chato
 
..hayo matusi sasa....kwa hiyo we unajua siku baba yako alivyomtia mama yako hadi we ukazaliwa???

Siyo kazi ya waziri kukufanya umuamini maana wewe hata humamini kama yule mama mke wa baba yako mzazi ndiye mama yako mzazi
 
Hizi ni habari njema kwetu wazalendo...Hapo hapo ni habari mbaya kwa Tindu Lissu na Zitto Kabwe wanao taka serikari ya awamu ya tano isifanikiwe
Binafsi wamekupa mgawo wa sh ngapi au unashangilia figure za kwenye magazeti kama zile za kupanda kwa uchumi.
 
Upuuzi mtupu! Hakuna chochote cha nyongeza hapo. Ndivyo ambavyo hufanyika.
 
tanzania ya neema yaja, serikali imeanza kumwelewa Lissu Nshala waliopigania mawazo haya, tatizo maofisa ya maccm ndio wanaouza nchi alafu wanakimbia kulalamika eti serikali ilikuw imeoza, cha kujiuliza ilikuwa au ni serikali ya nani aliyepo?
 
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyoanza kupatikana katika sekta ya madini.

Kairuki alisema serikali itapata mrabaha wa Dola za Marekani 124,176.97 (Sh. milioni 276.2), pamoja na ada ya ukaguzi Dola za Marekani 20,695.80 (Sh. milioni 46.036).

Alisema Agosti 31, mwaka huu, serikali ilizuia mzigo wa almasi za kampuni hiyo zilizokuwa zinasafirishwa kwenda Antwerp, Ubelgiji na kwamba mzigo huo bado unashikiliwa hadi sasa.

Hata hivyo, alisema serikali iliiruhusu kampuni hiyo kuendelea na uzalishaji wa almasi ambapo na kuzalisha karati 39,567.96.

“Waliomba waruhusiwe kuuza almasi hiyo, serikali ilikubali na wataalamu wa serikali walithaminisha almasi hizo na kupata thamani ya awali kuwa ni Sh. bilioni 18.2,” alisema.

Alisema mrabaha wa awali ulilipwa Sh. bilioni moja na ada ya ukaguzi ilikuwa Sh. milioni 182.2, hivyo serikali kupata jumla ya Sh. bilioni 1.288.

DSCN2069-1.jpg

Waziri Kairuki alisema Oktoba 20, mwaka huu, almasi hizo zilisafirishwa kwenda Ubelgiji na serikali ilituma maofisa wake kusimamia uuzwaji wa almasi hiyo ambayo huuzwa kwa njia ya mnada.

Alisema juzi almasi hizo ziliuzwa kwa dola za Marekani 10,261,227.76 (Sh. bilioni 22.8) ikiwa ongezeko la Dola za Marekani 2,069,582.77 (Sh. bilioni 4.6) sawa na asilimia 20.16 ya thamani ya uthaminishwaji wa awali.

Aliongeza kuwa katika mzigo huo wa almasi kulikuwa na almasi moja yenye rangi ya pinki yenye uzito wa karati 5.92 ambayo iliuzwa kwa Dola za Marekani 2,005,555 (Sh. bilioni 4.51).

Aidha, Kairuki alisema Oktoba 29, mwaka huu, katika eneo la Kiabakari, mkoani Mara, serikali ilikamata sampuli za miamba ya madini ya dhahabu kilo 600 zilizokuwa zikisafirishwa na kampuni ya ZEM (T) Ltd bila vibali kutoka serikalini.

Alisema sampuni hizo zilichukuliwa na kupelekwa kwenye maabara ya Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) na baada ya kufanyika uchunguzi ilithibitika kuwa kweli ni miamba ya dhahabu.

Waziri Kairuki alisema Serikali imeamua kuwapeleka mahakamani, ili sheria ichukue mkondo wake kwa kosa la kusafirisha na kukutwa na sampuli hizo bila kibali.
Credit: Mjengwa Blog

HABARI,
Mkuu hiyo almasi iliyouzwa sio ile iliyokamatwa,Almasi hiyo uliyouzwa ni ile iliyopatikana baada ya serikali kuruhusi mgodi kuandelea na uchimbaji.Ile liyopatikana kwa kipindi hiki ndio hiyo iliyuzwa ile bado ipo.

LUMUMBA
 
Ni kweli Almasi iliyokamatwa bado inashikiriwa hadi sasa.
 
Back
Top Bottom