hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,884
- 2,781
Sawa
Tusubiri tuone
Tusubiri tuone
ni waziri ambye alijaribu kutunga sera ya kuwanusuru tembo pmja na vifaru amepikiwa majungu mpka kakimbia.wauwaji wa tembo Wameshinda.Huyu mtani wangu amefanya uwamzi mzuri. Hii wizara hakuna Waziri atakaemzidi kagasheki kwa kujaribu kuzuia ujangili. Lililo wazi ni kwamba hii Wizara ni shamba la CCM. Anaejaribu kuziba mianya ya ujangili hawezi kudumu.
Mbona jamani mnalete utani hapa? Tunataka facts sio hadithi kwa mambo makubwa kama haya. Tuambieni kama na mtoto wa mkulima kaamua
Mbowe anasubiri nini..?
Kagasheki amehujumiwa tu kwa sababu ya kupambana na majangiri