- Thread starter
- #81
mimi sinufaiki na mbolea, nanufaika na umeme wewe unaenufaika na mbolea mtafute wa kumlaumuMbolea elfub95 hatuwasikii wakilaumu ila January ukilala ukiamka
mimi sinufaiki na mbolea, nanufaika na umeme wewe unaenufaika na mbolea mtafute wa kumlaumuMbolea elfub95 hatuwasikii wakilaumu ila January ukilala ukiamka
Kwani we mgao wa umeme huuoni?Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Hilo si limetolewa maelezo kwamba mfumo haukufanyiwa maintenance kipindi Cha magu wakiogopa kutumbuliwa!!..kwamba Kuna ufundi unaendelea,ukikamilika umeme utakua stable
Bila shaka; kwani sio kila alalamikae ni mfuasi wa Jiwe kama mnavyotaka watu waamini!!Akizileta hizo sababu wataacha kutoa nyongo?
Unauliza utadhani humjui jiwe!!!!...ni shida kufanys kazi na yule bwana,alichokua anataka no kusifiwa na kuzungumziwa kwa mazuri tu,ukatekate umeme wamuone hafai,kazi unayoJe na wewe unakubali kuwa TANESCO walikuwa hawafanyi maintenance wakiogopa kufukuzwa kazi na JIWE? Bajeti waliotengewa kwa maintenance waliitumia kwa vipi? Je kamati za Bunge hazikugundua udhaifu huo mpaka alipokuja January ndio akagundua?
Nyie sukuma gang mna chuki na January, na pia mna chuki na Samia,Itoshe tu kusema kwa sasa hatuoni faida yoyote ya waziri wa nishati, huduma mbovu na za hovyo za sasa kwa mara ya mwisho tuliziona miaka ya 2012 huko
hapa nilipo mpaka sasa hakuna umeme tangu saa mbili asubuhi sasahivi inaelekea saa 12 jioni hakuna umeme,
mnategemea sisi wananchi tutafanyaje uzalishaji?
watu wana mitambo ya tofali wengine welding watu wana stationary na vengine vingi siku nzima umeme hakuna mnataka tuishije? na hiii sio mara ya kwanza ni mazoea sasa
sasa hv imezoeleka mtu ibapita siku nzima hujazalisha hata shilingi mia sababu ya umeme,
mbona kama mnatulazimisha tumkumbuke Magufuli?
tukiongea mnasema watanzania wamezoea kulalamika mbona hatuambiwi sababu ni nini ya mgao wa umeme?
mi naomba niulize hivi huu mgao wa umeme ulikua umesubiri kalemani atoke ndio uanze?
tunajuta ni bora hata angebaki medard kalemani
makamba hamna kitu kabisa
CCM sio wa kuendekeza tena, tumechoka tumechoka
Hivi hawa ndio brain ya potential leaders wetu?
Unataka kutuaminisha kuwa kukatikakatika kwa huu umeme hivi sasa wananchi watamuona Samia anafaa? Tafuteni njia kama maintenance ndio sababu yenu ya kukakatika umeme, ambayo hamtakata umeme kwa muda mrefu ili kupunguza kero kwa wananchi!! Unapokata umeme kwa muda mrefu mmnajua impact yake kwa wananchi?Unauliza utadhani humjui jiwe!!!!...ni shida kufanys kazi na yule bwana,alichokua anataka no kusifiwa na kuzungumziwa kwa mazuri tu,ukatekate umeme wamuone hafai,kazi unayo
Nani anamchafua? Watu walishasahau mgao sasa walalamike wapi!Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Ni lazima ukatwe ili usikatike Tena,unalalama niniUnataka kutuaminisha kuwa kukatikakatika kwa huu umeme hivi sasa wananchi watamuona Samia anafaa? Tafuteni njia kama maintenance ndio sababu yenu ya kukakatika umeme, ambayo hamtakata umeme kwa muda mrefu ili kupunguza kero kwa wananchi!! Unapokata umeme kwa muda mrefu mmnajua impact yake kwa wananchi?
Sukuma gang! Kimsingi Kama mwendo ndio huu mko kwenye mzani hao unaowaita sukuma gang walikuwa wawajibikaji na matokeo yalikuwa yanaonekana,sasa zamu ya wapiga Domo mnalo awamu hii mjipange tunataka matokeo sio sarakasi.Nyie sukuma gang mna chuki na January, na pia mna chuki na Samia,
Sasa mama atapiga chini mabaki yote ya sukuma gang, maana mnatukana Sana humu mitandaoni
Ni lazima ukatwe ili usikatike Tena,unalalama nini
Wataalam wameona sharti umeme ukatwe muda huo ili Mambo yaendeHuu ndio ubabe aliokuwa nao JIWE mkimlalamikia, na sasa ni zamu yenu na nyinyi mnafanyi hivyo hivyo!!
Nakala kwa @victoireTokea lini Kilaza kama January akafanikiwa kuongoza hiyo wizara. Samia alitakiwa amuweke Muhongo hapo.
Wataalam wameona sharti umeme ukatwe muda huo ili Mambo yaende
Tokea lini Kilaza kama January akafanikiwa kuongoza hiyo wizara. Samia alitakiwa amuweke Muhongo hapo.
Pole sana mkuu kwa matatizo hayo ya umeme.Itoshe tu kusema kwa sasa hatuoni faida yoyote ya waziri wa nishati, huduma mbovu na za hovyo za sasa kwa mara ya mwisho tuliziona miaka ya 2012 huko
Hapa nilipo mpaka sasa hakuna umeme tangu saa mbili asubuhi sasa hivi inaelekea saa 12 jioni hakuna umeme,
Mnategemea sisi wananchi tutafanyaje uzalishaji?
Watu wana mitambo ya tofali wengine welding watu wana stationary na vengine vingi siku nzima umeme hakuna mnataka tuishije? na hiii sio mara ya kwanza ni mazoea sasa
sasa hivi imezoeleka mtu ibapita siku nzima hujazalisha hata shilingi mia sababu ya umeme,
Mbona kama mnatulazimisha tumkumbuke Magufuli?
Tukiongea mnasema watanzania wamezoea kulalamika mbona hatuambiwi sababu ni nini ya mgao wa umeme?
Mi naomba niulize hivi huu mgao wa umeme ulikuwa umesubiri kalemani atoke ndio uanze?
Tunajuta ni bora hata angebaki Medard Kalemani
Makamba hamna kitu kabisa
CCM sio wa kuendekeza tena, tumechoka tumechoka