Waziri Jafo: Msako wa vifungashio kuanza kesho

Mama alikosea sana kumuacha huyu jamaa angekula kichwa tu atulie na ubunge wake!
 
Leo tarehe 25 May, 2021 huku Kibaha vipo Kama vyote. Mwambieni waziri afanye msako wa kustukiza huku au Kibaha hakuhusiki?
 
Si tulikubaliana tusiwagasi wawekezaji jamani!?,Nini Tena hiki jafo!? unataka kukimbiza wawekezaji Tena!??
 
Back
Top Bottom