Waziri Jafo Kazi Yako ni Ipi Ikiwa Mifuko ya Plastic Iliyokatazwa Imerejea Tena?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Binafsi Huwa sielewi Kazi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano inahosimamiwa na Jafo wanafanya nini hasa.

Kupanda miti Wameshindwa japo kuonesha mfano hapo Dodoma hakuna kitu.

Kusimamia Usafi Wameshindwa kiasi kwamba Sasa hivi kipindupindu kimerejea Kagera na Dar,Like agizo la Usafi wa mwisho wa wiki na Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi (Magufuli Day) imepuuzwa.

Sasa hivi Mifuko ya plastics ambayo ilipigwa marufuku imerejea Kwa Kasi sana mtaani.

Nashauri mh.Rais amfukuze kazi Waziri Jafo,huyu ndio Waziri Bomu kabisa kwenye Cabinet.

View: https://www.instagram.com/p/C1cRqutIh3S/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Jaffo hana jipya....ameowaya Sanaaa....mfumo wa sasa hawamtaki Jaffo...sababu akienda kwa bwana yule akawaacha wenzake kwa imani......
 
Back
Top Bottom