Waziri Jafo: Kuna watu wanadhani watakaoingia mbinguni ni wale wanaosali sana kumbe watenda kazi kama Rais Magufuli wataenda peponi!

Ulishawahi kumsikia Magufuli anakemea au kulaani kupigwa risasi Lissu au kupotea kina Azory? Kwa nini serikali yake ilikataa msaada wa uchunguzi kutoka nje? Kwa nini kamera ziling'olewa baada ya tukio la Lissu kupigwa risasi?
Hiyo laana itamhusu Magufuli na vizazi vyake hata cha tatu na cha nne asipotubu.
Suala la lissu kupigwa risasi lina mlolongo mrefu Sana Usiende kwa serikali moja kwa moja.....mbowe pia nae anahusika kwa namna moja au nyingine ila tu kajificha kwa kivuli cha serikali
 
Suala la lissu kupigwa risasi lina mlolongo mrefu Sana Usiende kwa serikali moja kwa moja.....mbowe pia nae anahusika kwa namna moja au nyingine ila tu kajificha kwa kivuli cha serikali

Kama Mbowe anahusika ni kwa nini serikali haimkamati? Ana kesi za kubambikiziwa lukuki kwa nini aachwe kwenye tuhuma serious kama hiyo?
Are you really that dumb?
 
Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge.

Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu.

Mh Jaffo jina la Yesu likubariki.

Amen!

........ bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu!!

Pale wanadamu wanapomchukulia poa Mwenyezi Mungu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge.

Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu.

Mh Jaffo jina la Yesu likubariki.

Amen!
Mwanasiasa! Sijui. Kila mtu atajijua mwenyewe na muumba wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kuhukumu usije nawe kuhukumiwa pia unajuaje na hata kama ni yy alifanya yote hayo na mwingine mengi inauhakika kuwa hajatubu kwa Mungu wake yaani kuungama/kuomba toba!?
Mtu aliye mshambulia Lissu kwa risasi 38!
Akaua kina Ben sanane, Azary Gwanda, Alphonse Mawazo, n.k.....ataenda pepo ya nani? Ya shetani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge.

Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu.

Mh Jaffo jina la Yesu likubariki.

Amen!
Huyo anaemtaja pepo ataiskia labda pepo ya burigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawana ufahamu wa kutosha kuhusu mbingu. Maraisi wachache Sana watakaotoboa hapa duniani hila huyu wa kwetu Tena awamu ya tano atai gia mbinguni kwa kufanya yafiatayo.
1, Akiri maovu yake yote kipindi akiwa hai.
2, Atubu kwa dhamira ya kweli kutoka moyoni.
3, Mungu amsamehe kwa damu ya yesu kristo.
Pasipo kufanya hayo kwa huyo mkulu ni JEHANAMU INAMGOJA TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom